Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Chombo ya fundiKwa Rafk yangu, afsa mikopoView attachment 2600656
Ni wazuri sana
Kwa Dawasco wa aina hii
Halafu msafi
Hata harufu ya papuch
Ipo nachuro
Mmmmh mmmh
Chombo ya fundiKwa Rafk yangu, afsa mikopoView attachment 2600656
Mwambie tuUnataka kutiana wazimu wewe jamani kwani nikichagua nitapewa nachotaka au nachostahili![]()
Poaah dear,Mambo mama G
Mbna sizioni mie sasa???Picha zangu zimo kibao selfika humu binamu, na huwa sifuti![]()
Ukiwa tayari utanambia nikupelekee, kiingilio buku 10.Kweli tenahuamini au
Shangaz sikuhiz naumwa mwili Kwa kulala yaani ni kujifungia ndani tu nikaenjoy mie![]()
Mtoto wa DadaaUnamkubali nani katika ile show ya CHEKA TU?
Mpe hi pia , mnaendeleaje ?Poaah dear,
G anakusalimia.
Tuko poaaa, tumetokaa kutibuanaa sio mda afu chuo kakataa kunishikia mkoba wangu, nimemchamba nimekimbiaaa.Mpe hi pia , mnaendeleaje ?





Asante sana best Wige 😘😘😘
Huwa anakubebea pochi ? Jishushe mwaya umuombe msamaha na umempeti peti .Tuko poaaa, tumetokaa kutibuanaa sio mda afu chuo kakataa kunishikia mkoba wangu, nimemchamba nimekimbiaaa.
![]()
Waooh jamni 🥰Ukiwa tayari utanambia nikupelekee, kiingilio buku 10.
Ha ha ha.....Chombo ya fundi
Ni wazuri sana
Kwa Dawasco wa aina hii
Halafu msafi
Hata harufu ya papuch
Ipo nachuro
Mmmmh mmmh

Utakua huwa unapishana nazo,Mbna sizioni mie sasa???

Hii bia ladha yake huwa ikoje mkuu

Haha mzee si unazichakata za kwa zulu natal uko.Duh
Nimeikosa
😀😀Nitayasema yote napenda kufurahi sanaHahah kwa kucheka huko unaweza jikuta unatoa siri zako za ndani