Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

a

Mkuu jiheshimu , uongo upi huo uniache kabisa ..
tuko huru kupost picha yoyote iwe filtered or not .
Ndo maana Selfika watu wanapoteaa, kuna mamlukii wamevamia hapa, yaan ile vibee imepoteaaa kabisaaa.,
 
Huweki picha kwa sababu ya mtu?
Ingekuwa tunaogopa watu basi huu Uzi usingefika hapa leo.


Humu ndani Kuna mengi,
Wengine tangu Uzi unaanza tushatukanwa hadi basi ila picha hatuachi kuweka[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaaa km mazuriiii.
Dada unachachuka sometimes nawee
 
Irudishe tu mwaya
Bando lako, hata ukipondwa, hukatiki mguu Wala kichwa [emoji38]
Ungekuwepo kipindi uzi unaanza nadhani ungeukimbia[emoji23]Yale masekeseke yamepita humu.

Wewe weka tu
Amini Mungu alikuumba Kwa mfano wake na akaona kuwa ni vema.

Filter tumepewa tuzitumie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwann sijui leo nachekaaa mnoo.
Yaan bas tyuuh
 
Kuna purukushani tu za hapa na pale [emoji38]
Sekeseke na mitifuano kama yote.


Unaweza post picha, mtu anakuja tu kukudis kama ulivyofanyiwa.. ili mradi tu ujisikie vibaya.

Yaani hakuna jipya chini ya selfika[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nitahama hadi nikome
jamani watu wanaongea hao ... halafu nikawa mvivu nachelewa kutoka lol .
bora huko aisee natamani hadi kurudi nyumbani lol [emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] urudi kufanya nn?? Baki maghettoni bhanaa, kuna rahaa yakee.
 
haha mtaani umezimaliza
Sasa unataka ukahamie kwa MT.
😅😅😅😅 ni kukiwashaaa tu.. nipo safii... natembeee shwaa shwaaaa... kifua mbeleee
Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom