Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,815
- 10,702
ngoja niwatag
Weka picha yako
Usieke picha yoyote weka picha yako
ngoja niwatag
PotezeaAsante Anne , wiki hii ngumu naona watu wananiudhi hahahahaha

jifunze kuelewa watu , mimi hunijui why uanze kutoa nasty comments ? ..Ahahah mimi napenda utani pole mamy
oh wow , napenda kujua mpya zaidi . Nina nyimbo hadi mia mbili hukoMi Kuna nyimbo huwa hazinichoshi
Uzuri zipo nyingi.
Yaani Kwa siku naweza sikiliza kwaya hata5 na nisimalize.
Kuna namna nyimbo za kale zilikuwa na mafuta sana... Tofauti na nyimbo nyingi za sasa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
nina tabia ya kujishtukia yani nimeweka tu hao wameanza comment dahPotezea
Wewe endelea kuselfika
Tena mm mtu akinikejeli ndio huwa sifuti ng'oo
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Thank you Putin .Wazoee tu mamiii
Live ur life
Mwee usijishtukienina tabia ya kujishtukia yani nimeweka tu hao wameanza comment dah
nshaweka na nimekutag 😂Weka picha yako
Usieke picha yoyote weka picha yako
Mpya najitahidi tahidi kufuatiliaoh wow , napenda kujua mpya zaidi . Nina nyimbo hadi mia mbili huko

Mpuuzi mkubwa wewe, achana na dogoBila filter utoboia![]()
Abee
Nimekosa mimi nimekosa sanaMpuuzi mkubwa wewe, achana na dogo
Nikajisemea nisije pondwa zaidi , sijaweka picha siku nyingi pia ndo maana pia .Mwee usijishtukie
Jiamini
Usijihisi inferior kwa sababu ya comment ya mtu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Irudishe tu mwayaNikajisemea nisije pondwa zaidi , sijaweka picha siku nyingi pia ndo maana pia .
Kama wazungu wanavyosema old is gold . Huwa nzuri na zina ujumbe mzuri . Navyopenda nyimbo/kusifu nawahimiza sana ndugu zangu wapende na wao .Mpya najitahidi tahidi kufuatilia
Ila siyo kama za zamani
Yaani sijui nani alinizindika kwenye old gospel,
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app