Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Thank you nawe pia ubarikiwe .Nafurahi siki hivo... Na siku yako iwe hivo hivo ♌
Thank you nawe pia ubarikiwe .Nafurahi siki hivo... Na siku yako iwe hivo hivo ♌
Subiri hapa hapaJambo jema .. Selfika kaka
naingia na kutoka . Asante san Boss nikibahatishaSubiri hapa hapa
Nashusha mzigo live bila chenga
Kuna ID moja humu niliwahi kuiona inajiita #Bichwakomwe , nimekutana na hii comment kisha nikaikumbuka ile I'd nikacheka sana.
Tumefanyaje jaman 🏃♂️🏃♂️🏃♂️Ila binadamu![]()
Babu yake Hakimi huyu hapa 😅
Mdegree wa UD?Ankoliiii hebu toa hiyo emoji, nikuone vizuri, uko swafiiiiiii, afu hivi leo jion karibu na mti wa mdegree hukuwepo??
Mzigo umetemaa fanya kunipasiaa na mie.
Utakufa kabla ya siku za uhai wako duniani kijana
Tena nilitaka kuandika bichwa komwe😆Kuna ID moja humu niliwahi kuiona inajiita #Bichwakomwe , nimekutana na hii comment kisha nikaikumbuka ile I'd nikacheka sana.
Hello Darlin gIla binadamu![]()
MnoooAcha tu dear , inasikitisha
Khaaah sasa usipange kisa nn? Km Una kazi ya kukupa kipatoo? Why not?Ghetto raha sana , sema isiwe kwenye uswahili . Kwetu hawapendi ke apange naonekana ni binti wa ajabu lol
Yes wa UD.Mdegree wa UD?