Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_0075.jpg
 
Saint Anne , weh kulikuwaje humu ? Picha nishaifuta hadi nianze kuitafuta tena na kuicrop .
Kuna purukushani tu za hapa na pale 😆
Sekeseke na mitifuano kama yote.


Unaweza post picha, mtu anakuja tu kukudis kama ulivyofanyiwa.. ili mradi tu ujisikie vibaya.

Yaani hakuna jipya chini ya selfika😂
 
Kuna purukushani tu za hapa na pale 😆
Sekeseke na mitifuano kama yote.


Unaweza post picha, mtu anakuja tu kukudis kama ulivyofanyiwa.. ili mradi tu ujisikie vibaya.

Yaani hakuna jipya chini ya selfika😂
Duh hatari , bora kumetulia sasa .
Sipendi maneno mie
Huku wazaramo wamenishinda
 
Back
Top Bottom