Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

ooh mie naboreka na nyimbo nikisikiliza sana .
nahitaji nyimbo mpya .. nimuimbie Mungu aiseee
Mi Kuna nyimbo huwa hazinichoshi
Uzuri zipo nyingi.

Yaani Kwa siku naweza sikiliza kwaya hata5 na nisimalize.


Kuna namna nyimbo za kale zilikuwa na mafuta sana... Tofauti na nyimbo nyingi za sasa.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Huweki picha kwa sababu ya mtu?
Ingekuwa tunaogopa watu basi huu Uzi usingefika hapa leo.


Humu ndani Kuna mengi,
Wengine tangu Uzi unaanza tushatukanwa hadi basi ila picha hatuachi kuweka
Asante Anne , wiki hii ngumu naona watu wananiudhi hahahahaha
 
Back
Top Bottom