Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lol hongera sana babuuuu! Na Mungu awatunzeeee nakuwalinda mzeeke pamoja mkifurahia penzi lenuu !
Nimependa Bibi alivokusubiri akakuvumilia ulipoenda kupigana vita huko Kagera babu much congratulations to you two !!!

Ups and downs ni kipimo cha uvumilivu na ukomavu kiakili. kwa busara/ hekima zako hapo bibi kapata kilicho chemaaaa!!
Enjoy the valentine and have a good night granpaahhh!!,
Huyo vita ya Kagera

Kaisoma vitabuni

25yrs old kafikisha juzi

Nakuona kabisa

Unaelekea kibra

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Kupatwa kwa babuuuu hukuuu nyieeee! Naona mahaba niteketrezeeeeeee nilegezeeeee hadi kwa nyiee wazeeeee jamaneeeeee Makubwa hayaaaa hahaaaaaakumbe granpa unajua kuimba hivi???? ! cocastic njoo umuone babuuuu yakoo hukuu
Mpe Hongera sana na msamilie sana bibiiiiii !!

Happy Love month granpaahhh!!
ni DC sahv huyo huna habari mwayaaaa? Poleeeeeh.

Amejawa na mahabaa kwa bibi woiiii.
 
Weee mimi humu nawawezea wapii mkuu!! Nimeridhika na nilienae sitaki hekahekaa zahumuuu kabesaaa!!
Nimeshangaa tyuuu naonaga huyo mzee hanaga habare za mapenzi kabisa kutwa kupost ng'ombe na mitumbwi tu kumbe nae anatelezaaa as usual hahaa!!
em sema kweli.
 
Yaniii humu

unashobokea mtu kapost ma verses unajua kakutumia wewe kumbe ni dedication kwa watu wake wote alipwapanga humu khakhakhaaaa boraa kukaa kwa password tu sitrakiii mie!
foleniiii hoyeeeeeee.

Aririiiiiiiih
 
Back
Top Bottom