Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20230203_161321.jpg
 
Kupatwa kwa babuuuu hukuuu nyieeee😂! Naona mahaba niteketrezeeeeeee nilegezeeeee hadi kwa nyiee wazeeeee jamaneeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Makubwa hayaaaa hahaaaaaa😂😂kumbe granpa unajua kuimba hivi????🤔🤔🤔 ! cocastic njoo umuone babuuuu yakoo hukuu
Mpe Hongera sana na msamilie sana bibiiiiii ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️!!

Happy Love month granpaahhh!!
Mwezi wa mapenzi huu Mjukuu, Bibi yenu ameniambia nijiandae kupelekwa Visiwa vya Karafuu ili kufurahia Valentine's yetu🤗

Miaka 50 hii ya kuishi pamoja yenye Ups na down nyingi, kwahiyo ni muhimu kwenda kupata utulivu maeneo tofauti na nyumbani 🤗
 
Back
Top Bottom