Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

bia
20230202_015542.jpg
 
Wacha tupunguze Stress za January 🤪

Siamini kama uko nami bebi, Na mashoga zako wanadai nimekupa nini wee.

Wanatamani niachane nawe leo, Nini watafaidika wakiona niko mbali nawe.

Hawajui nimekupa nini we, Mengi tumepita siamini kama niko nawe leo x 2

You are so sweet, My sweet love Ooh Nanaa. Uko peke yako sina mwingine zaidi yako bebi x 2

A Song by Steve RnB - Sweet Nana

Guys, kumbe tupo kwenye Mwezi wa Mapenzi, nakuta Bibi yenu tangu Jana anacheza kwenye Santuri nyimbo nzuri nzuri za mapenzi (Za akina Mbaraka Mwinshee) na amezidi kuwa Romantic licha ya Umri wetu kuwa Umesonga 🤪🤗.

Anafanya nirejeshe nyuma kumbukumbu za miaka ile ya 1978-79 namwacha mpweke wakati naelekea Vitani Kagera 😎

Hello February 🥂
 
Kupatwa kwa babuuuu hukuuu nyieeee😂! Naona mahaba niteketrezeeeeeee nilegezeeeee hadi kwa nyiee wazeeeee jamaneeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Makubwa hayaaaa hahaaaaaa😂😂kumbe granpa unajua kuimba hivi????🤔🤔🤔 ! cocastic njoo umuone babuuuu yakoo hukuu
Mpe Hongera sana na msamilie sana bibiiiiii ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️!!

Happy Love month granpaahhh!!
 
Wacha tupunguze Stress za January

Siamini kama uko nami bebi, Na mashoga zako wanadai nimekupa nini wee.

Wanatamani niachane nawe leo, Nini watafaidika wakiona niko mbali nawe.

Hawajui nimekupa nini we, Mengi tumepita siamini kama niko nawe leo x 2

You are so sweet, My sweet love Ooh Nanaa. Uko peke yako sina mwingine zaidi yako bebi x 2

A Song by Steve RnB - Sweet Nana

Guys, kumbe tupo kwenye Mwezi wa Mapenzi, nakuta Bibi yenu tangu Jana anacheza kwenye Santuri nyimbo nzuri nzuri za mapenzi (Za akina Mbaraka Mwinshee) na amezidi kuwa Romantic licha ya Umri wetu kuwa Umesonga .

Anafanya nirejeshe nyuma kumbukumbu za miaka ile ya 1978-79 namwacha mpweke wakati naelekea Vitani Kagera

Hello February

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Weee mimi humu nawawezea wapii mkuu!! Nimeridhika na nilienae sitaki hekahekaa zahumuuu kabesaaa!!
Nimeshangaa tyuuu naonaga huyo mzee hanaga habare za mapenzi kabisa kutwa kupost ng'ombe na mitumbwi tu kumbe nae anatelezaaa as usual hahaa!!
Kwa mitego yake Ile

Ushalegea wewe

Back
Top Bottom