Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jaman aliyepo ktk uzi wa road trip akanitag, nautafuta mno siuoni. Nna shda nao sanaa, plz mnisaidie.
 
Food tester WA daruso bar

Yan food tester anaonja full plate kabisaaa. Ukisha onja ndio imetoka hununui chakula
Hahaha nilikuwa cafe 2 pale.

Nikimalizaa nao nakuja kwa huyu jamaa wa matunda wa pale nje naye ananipiga full package;

Maisha yalikuwa burudani Sana mwaka wa mwisho.
 
white mwanangu sana, enzi zangu alikuwa ananipa info zote, nani mpya nani katoka.. nilikuwa nafaidi sana 😅😅😅 .. mie pale alwatan
Nakumbukaga nilikuwa nikiingia na mwanangu mmoja hivi wanatugombania Kama mpira.

Utasikia hawa ndo wanaume Sasa wameingia.

Hapo jua tunakata boom karibia lote kisha tunaenda shindia mikate tukirudi maskani cc sumbai
 
Lenie unasema?
images%20(7).jpg
 
Weee mimi humu nawawezea wapii mkuu!! Nimeridhika na nilienae sitaki hekahekaa zahumuuu kabesaaa!!
Nimeshangaa tyuuu naonaga huyo mzee hanaga habare za mapenzi kabisa kutwa kupost ng'ombe na mitumbwi tu kumbe nae anatelezaaa as usual hahaa!!
Chombo ya kamanda

Ekyawe kyawee Kijunda nokala.
 
Back
Top Bottom