Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha usiniambie uliwahi wachakataa;

Dah sema Mimi kipindi hicho nilikuwa domo zege Sana.

Nilikuwa mzee wa kuzoom na kula kwa macho

Saa Saba Saba nilikuwa nakuja kutega kwenye hili daraja hapa na kula kwa macho tu.

View attachment 2504079
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo hapaaa niliwahi kuinamishwaa na genius.

Jack Palladino wee lekchaaa umepaonaa ulisema kuna CCTV??
 
Lol hongera sana babuuuu! Na Mungu awatunzeeee nakuwalinda mzeeke pamoja mkifurahia penzi lenuu !
Nimependa Bibi alivokusubiri akakuvumilia ulipoenda kupigana vita huko Kagera babu much congratulations to you two [emoji122][emoji122][emoji106]!!!

Ups and downs ni kipimo cha uvumilivu na ukomavu kiakili. kwa busara/ hekima zako hapo bibi kapata kilicho chemaaaa!!
Enjoy the valentine and have a good night granpaahhh!!,[emoji42][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Kesho nitawapaa moment ya leo. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]

Siku nzuriiii 2/2.
 
📸
IMG_20230203_085116.jpg
 
Hahaha pamoja na kuwa desa boy! Ila hollah. Bado nilitoka mtupu.

walau walau nilivokuwa food tester nilianza na wapishi.
Food tester WA daruso bar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yan food tester anaonja full plate kabisaaa. Ukisha onja ndio imetoka hununui chakula
 
Back
Top Bottom