Punguza kunywa maji sanaWacha nipige vyombo mkuu wangu Alexprosper sababu huwa tunakufa tunaharibika mno sheikh
Afisa nakubali!
Vizuri sana kama uko poa dada yangu kipenziNiko poa kaka yangu kipenzi
Habari ya wewe
Hahahaha nakumbuka saana mzeee.Afisa nakubali!
; unamkumbuka mwamba mmmoja hivi alikuwa mfupi kiasi mweusi alikuwa anajua ku point Sana alikuwa anatuzia viwalo vya mashati na kadeti kali kwa bei chee hall v nzima.
Haha usiniambie uliwahi wachakataa;Hahahaha nakumbuka saana mzeee.
Na wale wa dada WA usafi nawakumbuka.
Watu walikuwa wanapona saana pale
Haha usiniambie uliwahi wachakataa;
Dah sema Mimi kipindi hicho nilikuwa domo zege Sana.
Nilikuwa mzee wa kuzoom na kula kwa macho
Saa Saba Saba nilikuwa nakuja kutega kwenye hili daraja hapa na kula kwa macho tu.
View attachment 2504079




Hahaha pamoja na kuwa desa boy! Ila hollah. Bado nilitoka mtupu.
Ulikuwa tunakula Kwa machoo. Pesa yamsosi tuu ilikuwa takuunga unga sembuse kuwapa hao dada zetu itoke wapi?
MAdammeEvening @Sumbai✋!
Kitrambo sana aisee!!
Pandisha Kamera juu juu kidogo tuzoom vizureee 😎😁!
Yeah watu wa kwenye biblia walikuwa wanagonga sana mvinyoMaji yaliyobarikiwa , Magical water !![]()
Tupe madini tunakusikiliza mtaalam
Lol hongera sana babuuuu! Na Mungu awatunzeeee nakuwalinda mzeeke pamoja mkifurahia penzi lenuu !Mwezi wa mapenzi huu Mjukuu, Bibi yenu ameniambia nijiandae kupelekwa Visiwa vya Karafuu ili kufurahia Valentine's yetu🤗
Miaka 50 hii ya kuishi pamoja yenye Ups na down nyingi, kwahiyo ni muhimu kwenda kupata utulivu maeneo tofauti na nyumbani 🤗
Helloowww munywaniii 🖐️! Waguma!!?MAdamme