cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,299
Ahsanteeeeeeee!!!!
Ahsanteeeeeeee!!!!
Niko poaaa, nahangaika na baby kits containershahaha ukweli which .. Vipi wewe mama k ?






Kwenye kufatilia Pension kunakuwa na kausumbufu fulani,
Marahaba kabisa yaani....Shikamoo babu huku kwema vipi wewe ? Hahahaha si unajua cravings tu nimejua yapo delicious na tangy taste tu .
naona shopping mnaanza mapema . Vipi wazima hukoNiko poaaa, nahangaika na baby kits containers
![]()
Wazimaaaaah,naona shopping mnaanza mapema . Vipi wazima huko
Baada ya Airbus zote tatu za ATC kukwama ughaibuni kwa kisingizio eti zina hitilafu, ratiba zimevurugika hasa kwa safari za nje. Ukikata tiketi ATC na ndege ikaondoka on time ni kushukuru sana.Nahisi Kuna weakness kwenye Usimamizi.
Hapa safari yetu imesogezwa mbele kwa saa 1 zaidi
Ningejua ningerudi na Precision tu
Kuna haja Serikali ikafanya utaratibu kuzirudisha hizo zilizopo Ughaibuni.Baada ya Airbus zote tatu za ATC kukwama ughaibuni kwa kisingizio eti zina hitilafu, ratiba zimevurugika hasa kwa safari za nje. Ukikata tiketi ATC na ndege ikaondoka on time ni kushukuru sana.
Precision nao hizo ATR zao zimeanza kuzeeka. Hata ukizipanda you can tell. Ni muda mwafaka wa kuzipiga bei na kuleta mpya....
haha yeah nafsi inaridhika kabisa . Asante sana babu ubarikiwe piaMarahaba kabisa yaani....
Delicious na tangy eeeh!?
Haya bana!
Your taste buds zitakuwa zimefaudu.
Stay blessed mjukuu!
U hali gani babee baada ya mnyama kuondoka na points zetu3?
Unahisi kukosa nguvuManeno Makali saana.

Wea to babu?View attachment 2492321
Nimeambiwa mazao yangu shambani yamezidiwa na nyasi, Wacha niwahi Palizi
Hello Monday![]()
Babu yako nilikuja Kliniki huku Mjini kwahiyo ndiyo narudi Kijijini hivyo 🤗Wea to babu?
yuko vizuri , hizi ndo type zako .Tinsley
Muoneee athlete boy, jinsi anavyo smileee.
Najuta ile siku pale Azam cafe sikumuomba no ake.
mkaka mzuri huyu uwiiiiih. View attachment 2492395
KabisaaaUnahisi kukosa nguvu![]()
Ah babu kimya kimya hivoBabu yako nilikuja Kliniki huku Mjini kwahiyo ndiyo narudi Kijijini hivyo![]()
Hongereni sana☹️U hali gani babee baada ya mnyama kuondoka na points zetu3?