CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Hutaki au,, af mbona hata sio kazi kubwa kukuteka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nn?? Kwendraaa huko
Hutaki au,, af mbona hata sio kazi kubwa kukuteka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nn?? Kwendraaa huko
Nkamu umenimotivate😍View attachment 2490690
Kunukiaa[emoji3059][emoji3059]sehemu pekee inayomaliza hela zangu
Hivi ww ndiyo ulisema huwa unamnunulia bby wako perfume?? Saint Anne shikamoo Nkamu mimi hii ni mwanzo na mwisho nimetamani kulia kinyakyusaView attachment 2490693
Hizi zote n perfumes? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si kila siku unanukia tofautiiii.
Nkamu umenimotivate[emoji7]
Challenge accepted,wiki ijayo ngoja na mm niongeze ili nianze kutamba[emoji23]
Ndiyo Nkamu, huwa namnunulia anafurahi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huyuu unitekee mie? Unachekeshaaaaa.Hutaki au,, af mbona hata sio kazi kubwa kukuteka
Oooooh hapo saawaaaah.Perfumes, body washes na spray
hapana zingine sio zangu za baba watoto
Una bahati,, mm nkiwa narudi wewe ndo unasepa la sivyo ungekuja kuandika ushuhuda humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huyuu unitekee mie? Unachekeshaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuuuu!!! Hata km nimgekuwepo badoo.Una bahati,, mm nkiwa narudi wewe ndo unasepa la sivyo ungekuja kuandika ushuhuda humu[emoji23]
Etiii eeehh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuuuu!!! Hata km nimgekuwepo badoo.
Usingefanyaa chochoteee, na huweziii kwan
Morning mremboMvua leo balaa . Tupo kuisinikiza tu .. Morning Mjep
Kwanini NkamuNkamu mimi hapana nataka hadi kulia nawaza sijui niseme kuna jirani kafariki uwiii mwee mwee nkupela ehe kisa!!!
Bora imenyesha joto limepunguaMvua leo balaa . Tupo kuisinikiza tu .. Morning Mjep
nipo poa kaka . ShikamooMorning mrembo
Uko poa?
kweli kabisa . Vipi dear mzima weweBora imenyesha joto limepungua
Marahaba mdogo wangu, mvua imeisha?nipo poa kaka . Shikamoo
imekata eh maana ingekuwa balaa . Mvua kama hii ni ya kunyesha mikoani ya kilimoMarahaba mdogo wangu, mvua imeisha?
Kaka upoo?Marahaba mdogo wangu, mvua imeisha?