Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sehemu ambayo nauli zilikuwa 650 imepanda hadi 750
Na zile route za 400 imekuwa 500

Ukiunganisha route 2 ,mfano Mbezi-kivukoni ,jumla inakuwa 1250 badala ya 1050 ya mwanzo.
Oohh siyo mbaya lakini uzuri wa mwendokasi ni kama hivyo ulivyosema kwamba kwa route ndefu zinasaidia

Lakini inatakiwa waongeze magari maana zilizopo tu bado ni za kugombania

Sisi wengine huku tulipo hakuna mwendokasi na daladala si za kugombania, wala hakuna foleni za kutisha ni mara moja moja tu, kwahiyo hata siku mtu ukiamua kutumia daladala ni raha mustarehe hazina hekaheka
 
Junking the food
C360_20230116-150141-79.jpg
 
Kwa Kweli kaah...mko vyedi yaani mwezi April ntaenda Tena visiting day ntakaa hata two days Niende njia machame nikaone mlima Kwa karibuu
Kufananisha KLM na Mikoa mingi ni kichekesho,ukiacha dar rufiji hapo Kuna mapori balaaa,Kila wilaya Moshi inaishika vitu nilivokuta dodoma ghali pale same mmenunua Kwa nafuu next time shopping ntafanyia Same pale
Kwangu it was good experiences
Nkafika Same visiwani yaani mnapita mbuga mnakutana na Kijiji kikubwa kizuri umeme mpk milimani nyie shikamooooo watu wa Kilimanjaro ,gesti nzuri halafu walinikarimu mpk nimeshangaa au Kwa kua mgeni siku ya kwanza!!
Same hiyoo View attachment 2483146
Machame unapanda mpaka pale kialiya mlima unauona karibu kabisa
 
Kwa Kweli kaah...mko vyedi yaani mwezi April ntaenda Tena visiting day ntakaa hata two days Niende njia machame nikaone mlima Kwa karibuu
Kufananisha KLM na Mikoa mingi ni kichekesho,ukiacha dar rufiji hapo Kuna mapori balaaa,Kila wilaya Moshi inaishika vitu nilivokuta dodoma ghali pale same mmenunua Kwa nafuu next time shopping ntafanyia Same pale
Kwangu it was good experiences
Nkafika Same visiwani yaani mnapita mbuga mnakutana na Kijiji kikubwa kizuri umeme mpk milimani nyie shikamooooo watu wa Kilimanjaro ,gesti nzuri halafu walinikarimu mpk nimeshangaa au Kwa kua mgeni siku ya kwanza!!
Same hiyoo View attachment 2483146
Halafu kuna kimtu kinajitokea zake na kuponda kaskazini
 
Tunakuwa kama tuko Ulaya
Ndio maana panaitwa Geneva of Africa.

Sema kuna nyakati panaboa
Baridi ikizidi
Huwezi tupia ka dress
Itakubidi uvae li skin ndio ulivalie na koti
mnavyopafagilia Sasa weeeh!!!
 
Oohh siyo mbaya lakini uzuri wa mwendokasi ni kama hivyo ulivyosema kwamba kwa route ndefu zinasaidia

Lakini inatakiwa waongeze magari maana zilizopo tu bado ni za kugombania

Sisi wengine huku tulipo hakuna mwendokasi na daladala si za kugombania, wala hakuna foleni za kutisha ni mara moja moja tu, kwahiyo hata siku mtu ukiamua kutumia daladala ni raha mustarehe hazina hekaheka
Masaki Nini hukoooo??au mkoa
 
Back
Top Bottom