reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,426
- 29,306
Ahsante sana nimekaribia Binti yangu anasoma Shule hukoKaribu kaskazini mrembo
Ahsante sana nimekaribia Binti yangu anasoma Shule hukoKaribu kaskazini mrembo
Hahaha..watu mko vzr mnajipanga mapema mkuu wa Shule lazima atakua bestie yenu tu huyooHuu huu dear, mtoto yupo grade 1 ikifika Nov lipa ada ya grade 2 labda kama unataka kumuhamisha.
Hufi ila Cha moto kipooila Binamu
Nife hapa nilipo nikisomesha mtoto huko![]()




Mzuri sana unapunguza stress Wengine tunalipa ada siku anaenda ShuleUtaratibu mzuri
Nikiwa mkubwa nitaukopi
Aah nakumbuka uliomba msaada kupata shule nzuriAhsante sana nimekaribia Binti yangu anasoma Shule huko
Utaratibu mzuri
Nikiwa mkubwa nitaukopi
😀😀😀Na Mimi nimelipokea busu 😘
Hahaha..watu mko vzr mnajipanga mapema mkuu wa Shule lazima atakua bestie yenu tu huyoo

Hufi ila Cha moto kipoo![]()
Selfkaa basi😀😀😀Na Mimi nimelipokea busu 😘
Yas mmepata huko northern Tanzania anapambanaAah nakumbuka uliomba msaada kupata shule nzuri
mimi nina ki itel changu tuLi zuri
Natumia kitecno kitochi
Ngoja nikutane na kiduku mpapaso
Nimwazime iphone14 yake
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Hakuna tatizo ma anko tutamtembelea siku za visiting daysYas mmepata huko northern Tanzania anapambana
Ada km pension ya mstaafu,feza ya rahisi Ile ya Dom 6.2 m fanya mara 7...ACHA kabisaa zinatia wazimuWee hizo shule binamu ada yake hapana wee ulcers presha vyote vitakua magonjwa yangu
Ntaondoka na hii ni good idea mmeipendaBinamu ni kujidunduliza tu kidogo kidogo ikifika Nov inakua imefika
halafu watoto wangu wote wapo shule tofauti
May be wakija Dodoma ndiyo watasoma shule moja
Cha ajabu ukienda pale kivukoni muda huu,utakuta nyomi la watu wamepanga foleni wanasubiri mwendokasi ya kukaa.Oohh siyo mbaya lakini uzuri wa mwendokasi ni kama hivyo ulivyosema kwamba kwa route ndefu zinasaidia
Lakini inatakiwa waongeze magari maana zilizopo tu bado ni za kugombania
Sisi wengine huku tulipo hakuna mwendokasi na daladala si za kugombania, wala hakuna foleni za kutisha ni mara moja moja tu, kwahiyo hata siku mtu ukiamua kutumia daladala ni raha mustarehe hazina hekaheka