Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
biurifooo 😍Twende basi tukazagae town Lenie View attachment 2483183
Kucha umejitahidi kuzitunza bado zinashine
biurifooo 😍Twende basi tukazagae town Lenie View attachment 2483183
Sifanyagi kazi ngumu 🤣🤣biurifooo 😍
Kucha umejitahidi kuzitunza bado zinashine
HahahaaMe? To cry? Over petty things?
Mee?? Like mimi huyu 🤣🤣🤣
Wenye stress ndio nasikia mnatumia ukwaju, vitu vichachu
Nooo usizitoe bado nzuri banaSifanyagi kazi ngumu 🤣🤣
Sema hii wkend nizitoe eti
Hata kama bado zinashine
We acha tu..aaah wapi, huwezi niona niko invisible kidogo. Kwa mwendokasi kama wewe ni mfupi kama mimi unaweza kufwa wallah, hiyo suffocation sio ya kitoto. Usafiri mzuri, usimamizi mbovu kabisa.
Ijumaa iliyopita kabla ya hii ya juzi,poleni jamani dah .. Kuna mda nilikuwa natoka kibaha kuja posta nauli 3600
MashallahGood morningView attachment 2483103
Wew usintanie panakuwaje Sasa pakiwa pamepoa doohhSahivi mbona hamna hali ya hewa nzuri
Jua linawaka sana
Ingawa sio kama Dom
Nimependa tu kamkonoTwende basi tukazagae town Lenie View attachment 2483183
Hahaha...hapo kupisha Mtu panakera mwanzo WA gari Mtu anaona gari limejaa kabisa anapanda afu mwanzo miye pia sipishi,uwe na mtoto,mimba au vyovyote vile njiani Sawa ila mtu mzima TU ndo nampisha ,mimba starehe,mtoto starehe wapambane kivyaoIjumaa iliyopita kabla ya hii ya juzi,
Tulikaa hapo zaidi ya saa nzima,,gari ishafika kitambo hapo stand..ila zinashindwa kuja hapo kwa foleni ya kupandia maana daladala ziliblock njia.
Nilikuwa kwenye foleni ya kukaa maana nilikuwa sijisikii vizuri.
Kuna watu sijui wameumbwa kutendesha wenzao dhambi,
Wamepanda gari wakiona kabisa limejaza..halafu mdada mmoja anakuja nilipokaa anasema eti nimpishe mama Fulani akae.
Nikawambia siwezi kusimama ndo maana hata mm nimesubiri gari la seat.
Eti mpishe dada jamani huyu ni mkubwa..ananilazimisha.
Aisee Kuna watu ni wapumbavu sana.
Yaani nimpishe mtu aliyeamua kusimama mwanzo wa gari?Na gari inaenda kivukoni.
Hata awe nani,sisimami.
Nitampisha mtu aliyepandia njiani,tena nitakapojisikia..ila siyo wote tupandie mbezi,umeamua kusimama tangu mwanzo ukitegemea upishwe.
Ijumaa iliyopita kabla ya hii ya juzi,
Tulikaa hapo zaidi ya saa nzima,,gari ishafika kitambo hapo stand..ila zinashindwa kuja hapo kwa foleni ya kupandia maana daladala ziliblock njia.
Nilikuwa kwenye foleni ya kukaa maana nilikuwa sijisikii vizuri.
Kuna watu sijui wameumbwa kutendesha wenzao dhambi
aisee wanayaweza
kuna mdada namfahamu anavivaa vishat vyepesi ile inaonekana![]()







Lini utaacha utapeli dogo![]()









Mimi hata uwe na mtotoHahaha...hapo kupisha Mtu panakera mwanzo WA gari Mtu anaona gari limejaa kabisa anapanda afu mwanzo miye pia sipishi,uwe na mtoto,mimba au vyovyote vile njiani Sawa ila mtu mzima TU ndo nampisha ,mimba starehe,mtoto starehe wapambane kivyao
Kwanza
Kuna sehemu ukichungulia bado iko
![]()
Sasa ukivaa kigodoro, mkafika ndani mzeeiya asione taqo inakuwaje?
Unajitetea nn![]()















Weuweeeeeeeee!!!!Twende basi tukazagae town Lenie View attachment 2483183




Simara shida yangu ni candy tu.tafadhali usisahau
hahaha ndo mavazi yako eh na pensi hapo chini
Vest nyeupee za spider.