Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nasubiri hii
IMG-20230115-WA0012.jpg
Screenshot_2023-01-15-23-19-01-096_com.whatsapp.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikose vigodoro mie tenaa? Kkoo n 55k tyuuh.
Nnavo viwili, nikiamuaga kuvaa nakobekaa afu sijari wala nn.

[emoji1250]mbali wige, na beii siiwezi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rangi unayo

Mgongo hadi nyonga upo vizuri

Next time nione chuchu konzi

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Unaenda town na mwendokasi? Pole sana, nauli 1250..magari hakuna!View attachment 2483056
Walisharekebisha tatizo la jam?
Maana gari zilikuwa zinashindwa kuingia kwa wakati.
Daladala zilifunga njia kutokana na kukusanya ushuru hapo mbele pa Kutokea.

Ukitaka uone umuhimu wa mwendokasi,basi panda daladala na unaenda kivukoni au gerezani.
Foleni yake njiani mwenyewe utasurrender
Watu wanapanda mwendokasi si kama wanapenda,La hasha!.
Route ndefu mwendokasi ni nzuri kwa kuwahi.

Anyway,nilikuwa hapo nikaona uchebe nikafananisha na ulioselfika huku,kumbe ni wewe[emoji23]
 
Duuh kuna sehemu nimetoka kusoma ni 750 mara hii imeshakuwa 1250 tatizo nini

Halafu shida yao hawa nauli yao ni fixed haijalishi unashukia wapi

Bora wa daladala mtu anaweza hata akachonga na konda akasaidiwa tu
Sehemu ambayo nauli zilikuwa 650 imepanda hadi 750
Na zile route za 400 imekuwa 500

Ukiunganisha route 2 ,mfano Mbezi-kivukoni ,jumla inakuwa 1250 badala ya 1050 ya mwanzo.
 
Duuh kuna sehemu nimetoka kusoma ni 750 mara hii imeshakuwa 1250 tatizo nini

Halafu shida yao hawa nauli yao ni fixed haijalishi unashukia wapi

Bora wa daladala mtu anaweza hata akachonga na konda akasaidiwa tu
Watu hawana furaha kabisa, yaani watz hatuna furaha hata kidogo. Ni kulalamika tu kwa makosa ya serikali. Magari hakuna, nauli imepanda...watu ni wengi.
 
Walisharekebisha tatizo la jam?
Maana gari zilikuwa zinashindwa kuingia kwa wakati.
Daladala zilifunga njia kutokana na kukusanya ushuru hapo mbele pa Kutokea.

Ukitaka uone umuhimu wa mwendokasi,basi panda daladala na unaenda kivukoni au gerezani.
Foleni yake njiani mwenyewe utasurrender
Watu wanapanda mwendokasi si kama wanapenda,La hasha!.
Route ndefu mwendokasi ni nzuri kwa kuwahi.

Anyway,nilikuwa hapo nikaona uchebe nikafananisha na ulioselfika huku,kumbe ni wewe[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]aaah wapi, huwezi niona niko invisible kidogo. Kwa mwendokasi kama wewe ni mfupi kama mimi unaweza kufwa wallah, hiyo suffocation sio ya kitoto. Usafiri mzuri, usimamizi mbovu kabisa.
 
Back
Top Bottom