kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Nakataa nakataa chuchu hazijafika alasiri hizoChuchuu SAA 12 jioni, ndo maana sioneshi.
![]()
Nakataa nakataa chuchu hazijafika alasiri hizoChuchuu SAA 12 jioni, ndo maana sioneshi.
![]()
Lipsi mashallahGood morningView attachment 2483103
AsanteLipsi mashallah
Karibu😀Mambo mazuri![]()
poleni jamani dah .. Kuna mda nilikuwa natoka kibaha kuja posta nauli 3600Sehemu ambayo nauli zilikuwa 650 imepanda hadi 750
Na zile route za 400 imekuwa 500
Ukiunganisha route 2 ,mfano Mbezi-kivukoni ,jumla inakuwa 1250 badala ya 1050 ya mwanzo.
Shangaziiiiiiii nimependa huo ushungiii,Good morningView attachment 2483103
Sasa hutakiiiii?? Khaaaah.Nakataa nakataa chuchu hazijafika alasiri hizo

Kwa Kweli kaah...mko vyedi yaani mwezi April ntaenda Tena visiting day ntakaa hata two days Niende njia machame nikaone mlima Kwa karibuuActions speaks louder than words

shikamooooo watu wa Kilimanjaro ,gesti nzuri halafu walinikarimu mpk nimeshangaa au Kwa kua mgeni siku ya kwanza!!

Same hiyoo
Ewaaa karibu sana Same. Siku nyingine nitakupandisha milimani huko, sio lazima vacay uende Ibiza, hata ndani ya nchi kuna maeneo yanavutia sana. Siku ukija utakula ubwabwa kwa picha ya thamaki.Kwa Kweli kaah...mko vyedi yaani mwezi April ntaenda Tena visiting day ntakaa hata two days Niende njia machame nikaone mlima Kwa karibuu
Kufananisha KLM na Mikoa mingi ni kichekesho,ukiacha dar rufiji hapo Kuna mapori balaaa,Kila wilaya Moshi inaishika vitu nilivokuta dodoma ghali pale same mmenunua Kwa nafuu next time shopping ntafanyia Same pale
Kwangu it was good experiences
Nkafika Same visiwani yaani mnapita mbuga mnakutana na Kijiji kikubwa kizuri umeme mpk milimani nyieshikamooooo watu wa Kilimanjaro ,gesti nzuri halafu walinikarimu mpk nimeshangaa au Kwa kua mgeni siku ya kwanza!!
Same hiyoo View attachment 2483146
Unaamka au ndio umeweka bando sahiiNdio nimeamka now😂
Kuna mtu alikuja kunisabahi 😎Kwa Kweli kaah...mko vyedi yaani mwezi April ntaenda Tena visiting day ntakaa hata two days Niende njia machame nikaone mlima Kwa karibuu
Kufananisha KLM na Mikoa mingi ni kichekesho,ukiacha dar rufiji hapo Kuna mapori balaaa,Kila wilaya Moshi inaishika vitu nilivokuta dodoma ghali pale same mmenunua Kwa nafuu next time shopping ntafanyia Same pale
Kwangu it was good experiences
Nkafika Same visiwani yaani mnapita mbuga mnakutana na Kijiji kikubwa kizuri umeme mpk milimani nyieshikamooooo watu wa Kilimanjaro ,gesti nzuri halafu walinikarimu mpk nimeshangaa au Kwa kua mgeni siku ya kwanza!!
Same hiyoo View attachment 2483146
morningMorning.
mmh wapiSasa hutakiiiii?? Khaaaah.
![]()