Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii hapa kaliiii.
Nakujaa kuichukuaaa,

Toa loc,
JamiiForums-307047168.jpg
 
Hahaha...hapo kupisha Mtu panakera mwanzo WA gari Mtu anaona gari limejaa kabisa anapanda afu mwanzo miye pia sipishi,uwe na mtoto,mimba au vyovyote vile njiani Sawa ila mtu mzima TU ndo nampisha ,mimba starehe,mtoto starehe wapambane kivyao
hapo bora kutowapa siti yani wewe usubirie halafu mtu na haraka zake aanze kutaka seat kweli . . Ubaya hauna kitambi
 
Helloowww babuu!!✌️!
Msamiliieee sana huyo prince the steling hapoo naona kakaa kama pozi la babu yake pozi la kiume😁😁!!
Anaonekana ni hendsamuuu ajeeee😍😍😍😍
Hello Mjukuu 🤗

Asante kwa salamu, nitazifikisha kama zilivyo. Unajua nyumba bila wajukuu zinatutesa Sana sisi Wazee 🙈

Walau Sasa nitakuwa nimepata Mjukuu wa kumwagiza Kiko na Maji hapa nyumbani 🤪🤸🤸
 
Ngoja tutoke shambani nitakutumia umuone [emoji847]

Hope unaendelea vyema na Shule Mjukuu, Usome uje utusaidie huku Kijijini. Manake haikuwa kazi rahisi kuuza Ng'ombe zote zile kukusomesha [emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee achaa tyuuh.
Boraa nimalizeee niondokeeee, life la Dar limenichoshaaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee achaa tyuuh.
Boraa nimalizeee niondokeeee, life la Dar limenichoshaaaa.
Ikitokea umepata Mchongo wa kazi hapo hapo kwa Mzee Makala utafanyaje?

Kwa jinsi tulivyokumisi Mjukuu, nimeona Mzee Mapunda amehaidi kujitolea Ng'ombe Mmoja tumchinje siku ya kukupokea🤪🙈🏃🏃
 
Weuweeeeeeeee!!!!
Dee km Dee.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Nyie kuchaa mnanirushaa rohoooo. Wallah.
Zako umetafuna zote? Hivi kwanini mnakula kucha? Mnaishiwaga kazi za kufanya? 😂😂
 
Wew usintanie panakuwaje Sasa pakiwa pamepoa doohh
Tunakuwa kama tuko Ulaya 🔥🔥
Ndio maana panaitwa Geneva of Africa.

Sema kuna nyakati panaboa
Baridi ikizidi
Huwezi tupia ka dress
Itakubidi uvae li skin ndio ulivalie na koti
 
Ikitokea umepata Mchongo wa kazi hapo hapo kwa Mzee Makala utafanyaje?

Kwa jinsi tulivyokumisi Mjukuu, nimeona Mzee Mapunda amehaidi kujitolea Ng'ombe Mmoja tumchinje siku ya kukupokea[emoji2957][emoji85][emoji125][emoji125]
Nakuona unaimbisha

Huku unajipigia promo

Babu la mchongo una hatari sana

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Tunakuwa kama tuko Ulaya [emoji91][emoji91]
Ndio maana panaitwa Geneva of Africa.

Sema kuna nyakati panaboa
Baridi ikizidi
Huwezi tupia ka dress
Itakubidi uvae li skin ndio ulivalie na koti
Li zuri

Ni ulifichwa

Ni ulikatazwa

Ama ilikuwaje[emoji848]

Mwezi na kidogo

Sijakutia selfika

Machoni

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom