Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa Kweli kaah...mko vyedi yaani mwezi April ntaenda Tena visiting day ntakaa hata two days Niende njia machame nikaone mlima Kwa karibuu
Kufananisha KLM na Mikoa mingi ni kichekesho,ukiacha dar rufiji hapo Kuna mapori balaaa,Kila wilaya Moshi inaishika vitu nilivokuta dodoma ghali pale same mmenunua Kwa nafuu next time shopping ntafanyia Same pale
Kwangu it was good experiences
Nkafika Same visiwani yaani mnapita mbuga mnakutana na Kijiji kikubwa kizuri umeme mpk milimani nyie shikamooooo watu wa Kilimanjaro ,gesti nzuri halafu walinikarimu mpk nimeshangaa au Kwa kua mgeni siku ya kwanza!!
Same hiyoo View attachment 2483146
Hapaaa mnadani?
 
🐐
 

Attachments

  • IMG-20230106-WA0061.jpeg
    IMG-20230106-WA0061.jpeg
    604.1 KB · Views: 5
Ewaaa karibu sana Same. Siku nyingine nitakupandisha milimani huko, sio lazima vacay uende Ibiza, hata ndani ya nchi kuna maeneo yanavutia sana. Siku ukija utakula ubwabwa kwa picha ya thamaki.
ahsante kaka Kweli kabisa vacay tuanze hapa hapa nyumbani kwanza before kwenda Maldives Kunavutia mnoo Upareni ukijani Sasa weeee...
Hapo ubwabwa na picha ya samakishikamoo wapare
Kuna milima kaaahh ...sijuii gari zinafikaje kule
 
Kuna mtu alikuja kunisabahi

Akadrive, kufika Same upepo sana akashindwa endelea. Ikabidi alalepo

Ni anapasifia hatari
Pazuri same,Kuna kaupepo amazing nimelala siku Moja ila mmeinjoi mnoo!!dogo Chuga nako Pako vzr Hali ya hewa ya hyo Mikoa Mimi nimeilewa ghafla nkatamani niwe nafanya kazi huko
Vyakula navyo viko reasonable at price mnoo
 
Pazuri same,Kuna kaupepo amazing nimelala siku Moja ila mmeinjoi mnoo!!dogo Chuga nako Pako vzr Hali ya hewa ya hyo Mikoa Mimi nimeilewa ghafla nkatamani niwe nafanya kazi huko
Vyakula navyo viko reasonable at price mnoo
Sahivi mbona hamna hali ya hewa nzuri
Jua linawaka sana
Ingawa sio kama Dom
 
Back
Top Bottom