Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Best yako anaanza kunirubuni upya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipe ripoti dear nini kimetokea tenaaa best yangu Jack Palladino kunani??
Best yako anaanza kunirubuni upya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipe ripoti dear nini kimetokea tenaaa best yangu Jack Palladino kunani??
Twakupenda pia mrembo [emoji7]Jamani muwe na mchana mwema na lunch njema...
Ngoja nitengeneze lunch hapa. Nawapenda sana [emoji8][emoji8][emoji8]
Mpaka tukuombe jmnKaribuni sana chakula wapendwa. [emoji6]
Shangaa naweweMbona gafla sana[emoji1787][emoji1787]!
Nimemfumania, sasa kama anataka kurudi kwako jua utalia pia. MkataeShangaa nawewe
Ya kuwa vividua wagonjwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba hawana tabia gani eti
Khakhakhaaaa.....labda kwako kipenzi mie doctors hapana aise nawaona tu walivyo. Hao ma injia hapanaaa . Endelea kutoka nao
Mh hakuna watu kama wale yaani ukikaa nao story zao utatamani mkeo asiwe anaenda hospitalYa kuwa vividua wagonjwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakubondaaaa nawee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khakhakhaaaa.....
Una misimamo yako konki sana unanikoshajeeeeee!![emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41]!
Umeambiwa injiniazz madokta wamenyooka ndio ufanye mpango hivoooo Mimi wakulimaa wangu wananitosha kwakweli [emoji1787]!
Tunaomba tupicha tumoja basiKhakhakhaaaa.....
Una misimamo yako konki sana unanikoshajeeeeee!![emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41]!
Umeambiwa injiniazz madokta wamenyooka ndio ufanye mpango hivoooo Mimi wakulimaa wangu wananitosha kwakweli [emoji1787]!
Mnawasingiziaaaa hapaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mh hakuna watu kama wale yaani ukikaa nao story zao utatamani mkeo asiwe anaenda hospital
just normal guy with a decent livingUnawatakaaa wepi wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khakhakhaaaa...na Valentina mmenikumbusha kituuu.. wanasema ukiwa na mitara bora uweke gap kati yao yani wasipendane kabisa... wanawake wakipatana wakaakuamuliaa Alooooooohh Jack Palladino best unalo😂😂😂😎Nimemfumania, sasa kama anataka kurudi kwako jua utalia pia. Mkatae
Wewe omba mungu ulimpata huyo maana wengine wanetu kabisaMnawasingiziaaaa hapaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wangu walikua smart sanaaa,
usilaze damuBest yako anaanza kunirubuni upya [emoji1787]
Best nikajua wewe ndio mtetezi wangu😩Khakhakhaaaa...na Valentina mmenikumbusha kituuu.. wanasema ukiwa na mitara bora uweke gap kati yao yani wasipendane kabisa... wanawake wakipatana wakaakuamuliaa Alooooooohh Jack Palladino best unalo😂😂😂😎
Mbona anawajua wakuryaHuendi kokote, ungeuliza kwanza kabla ya kuingia kwa Wakurya. Wigelekelo hebu muelezee vizuri huyu ndugu yako.
Usijareee kabisaaaa chagua niweke part gani 😎😎!Tunaomba tupicha tumoja basi
Ukiachwa achika[emoji1732]Wigelekelo anafanya sherehe huko na mwenzie Glenn
Mkuu nimekubali kwa roho safi...Nipo single now!😊Ukiachwa achika[emoji1732]
Uholanzi hiyo mwanawane[emoji1787]
Kuwa mpole tu
Sent from my TECNO BD4h using