Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila Kuna ukweli my wangu nakumbuka miaka ya nyuma nipo chuo nilipata engeneer wanajua kupenda wanajua kujali alafu wanahudumi balaa alafu sio waongo waongo Kam wa socialogy πŸ˜‚πŸ˜‚

Sema wazazi walizingua mambo ya ndoa ningekuwa Mrs engineer muda huu na watoto sita nadhani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kujali wanajali/ wanacare sana hilo halipongiki ila ni mulemuleee tyuuu ! Malayaa Nyokkkkooooo
 
Ila Kuna ukweli my wangu nakumbuka miaka ya nyuma nipo chuo nilipata engeneer wanajua kupenda wanajua kujali alafu wanahudumi balaa alafu sio waongo waongo Kam wa socialogy [emoji23][emoji23]

Sema wazazi walizingua mambo ya ndoa ningekuwa Mrs engineer muda huu na watoto sita nadhani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba saivi ni Mrs nani?
 
Back
Top Bottom