kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,873
Ni kweli sisi ni jembe jembe mpaka tunasahau hio kitu kabisaHaitoshiiiiiiiii ongezeniiiiiii[emoji16][emoji16]!!
Ni kweli sisi ni jembe jembe mpaka tunasahau hio kitu kabisaHaitoshiiiiiiiii ongezeniiiiiii[emoji16][emoji16]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku ilikua likizo, wakat nipo 1St yr naelekea 2, sasa nlienda dukani, kumbe alinionaa, akanizibia njiani cna hili wala lile, nashangaa ghaflaaa nashkwa mkono kugeukaa ni yeye nilivyo choropokaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi mliishia wapi nayule mjeshi wako hendisamu???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Nyumbani ni waelewa tu Mbona ndani hawanaga hizo fujo kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]komaa na usiondokeMmeanza kutongozana upya? Hata sijabeba mizigo yangu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] sitoki sasa. Sijamuacha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em msg bado sijaonaa huku.Tayari laki 2 imeingi kwenye namba yako ya tigo check utaona muamala sweetheart[emoji8]
🤣🤣🤣😂😂😂😂Nipe ripoti dear nini kimetokea tenaaa best yangu Jack Palladino kunani??
Mbwembwe ni kawaida my babe!😉
Best nimeachwa bana daah!🥺🤣🤣🤣😂😂😂😂Nipe ripoti dear nini kimetokea tenaaa best yangu Jack Palladino kunani??
Kumbe eh[emoji4]Watu wa kudate nao ni
Engineers
Doctors
Hawa wenginee ni pasua kichwaaa. Ila hizo kada 2 wako real haswaa na wamenyooka km rulaaaaa.
Antonnia
Tinsley
sophy27
Bantu Lady
Somo liwaingieee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahahahaShindwa pepo
labda kwako kipenzi mie doctors hapana aise nawaona tu walivyo. Hao ma injia hapanaaa . Endelea kutoka nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee achaa fix zako mbna mie nlo date nao hawako hvyoo.
Ndiyooooooo dear [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Kumbe eh[emoji4]
Unawatakaaa wepi wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda kwako kipenzi mie doctors hapana aise nawaona tu walivyo. Hao ma injia hapanaaa . Endelea kutoka nao
Kwamba hawana tabia gani eti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee achaa fix zako mbna mie nlo date nao hawako hvyoo.
mbn hukaribishi watu? Au hapa story tu kula kivyakoJamani muwe na mchana mwema na lunch njema...
Ngoja nitengeneze lunch hapa. Nawapenda sana 😘😘😘
Mimi pia sielewi hadi muda huu!☹️Mbona gafla sana🤣🤣!
MMh kwanza sijaona popote uliponiudhi.Wee huyo usimtaje kabisa hataki, kuna kitu niliandika jana naona kilimchoma mkuki. Hataki huu utani tena.
Hapa hutoki, atakuja mume mwenzako utakuwepo. Mtakuwa wawili halafu wote ndugu.
Karibuni sana chakula wapendwa. 😉mbn hukaribishi watu? Au hapa story tu kula kivyako
Camera mbovu jiraniSelfika jirani