Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,903
[emoji849]Wee huyo usimtaje kabisa hataki, kuna kitu niliandika jana naona kilimchoma mkuki. Hataki huu utani tena.
Hapa hutoki, atakuja mume mwenzako utakuwepo. Mtakuwa wawili halafu wote ndugu.
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app