Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu wa kudate nao ni
Engineers
Doctors

Hawa wenginee ni pasua kichwaaa. Ila hizo kada 2 wako real haswaa na wamenyooka km rulaaaaa.

Antonnia
Tinsley
sophy27
Bantu Lady

Somo liwaingieee.
Sauti inatosha 🎤🎤🎤🎤hukoo?
Umemaliza yote mrembo...
Na maneno yameniishia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Pambaneni namainjinia na madokta wenyuuuuuuuu mi jeshiii langu lanitoshaaaaaaa!!

Jeshii tatizooo 1 tyuuh ubabee na undavaa.

Kuna souja nampendaa na namkubaliiii, aaaah nikionaga visangaa vyaoo nyegee zotee zinayeyukaaa yeyuuuuuu.

Namuogopaaa balaaaa, afu anajua km namuogopaaa, nikimuonagaa ni mbiooooo tyuuh.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂 Hivi mliishia wapi nayule mjeshi wako hendisamu???🤣🤣🤣🤣!
Nyumbani ni waelewa tu Mbona ndani hawanaga hizo fujo kabisa!
 
Wee huyo usimtaje kabisa hataki, kuna kitu niliandika jana naona kilimchoma mkuki. Hataki huu utani tena.
Hapa hutoki, atakuja mume mwenzako utakuwepo. Mtakuwa wawili halafu wote ndugu.
Hahahaaa...pia anapanic mapema kumbe 😎🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️!😁😁😁😁 ngoja ajeer🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️😁 😁😁😁
 
Hahahaaa...pia anapanic mapema kumbe 😎🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️!😁😁😁😁 ngoja ajeer🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️😁 😁😁😁
Simo mchanga wa pwani huooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom