kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Hamna karibu kuleYes. Sasa unaingia mkoa wa Mara![]()
Hamna karibu kuleYes. Sasa unaingia mkoa wa Mara![]()
ok,nimewah4 kufanya kazi fulani.mkoa huo,maeneo ya mazami,mwitongo,butiamaYes. Sasa unaingia mkoa wa Mara 💪
Pale golf ground ndolaYa kweli hayo bantu lady
Nimegee SiriHujamjulia tu.
Njoo nikufunde!

Lugha za kiungwanaHamna karibu kule
Vizuri sana, natumaini ulienjoy kuiahi na ndugu zangu. Usipowakorofisha ni watu wazuri sana.ok,nimewah4 kufanya kazi fulani.mkoa huo,maeneo ya mazami,mwitongo,butiama
Ahaa sitaki tena narudi kwa ValentinaSijakuacha, nakuweka pending huku natafuta mwingine. Tulia kwanza nipate mtu sawa?
poleMkuu nilikuwa kwenye serious relationship jana tu!..leo naamka nimeachwa!🤣
kwa huyu,janja janja kuwa makiniAhaa sitaki tena narudi kwa Valentina
Mmeanza kutongozana upya? Hata sijabeba mizigo yangu 😄😄😄😄 sitoki sasa. SijamuachaSi utaniacha tena tu![]()
yeah,nili enjoy ,si unajua mie pia masterVizuri sana, natumaini ulienjoy kuiahi na ndugu zangu. Usipowakorofisha ni watu wazuri sana.
Nimepoa mkuu!pole
Asante sana shemeji, nitakaribia wabheja sana 🤝Njoo PM nikupe mwongozo. Ofishale nakukaribisha kwenye ukoo wetu. Hutajuta!
Huyu hana shida tunajuana vizuri!😅kwa huyu,janja janja kuwa makini
okNimepoa mkuu!
Huendi kokote, ungeuliza kwanza kabla ya kuingia kwa Wakurya. Wigelekelo hebu muelezee vizuri huyu ndugu yako.Ahaa sitaki tena narudi kwa Valentina
ok,safi sanaHuyu hana shida tunajuana vizuri!😅
Kwa hio sisi wakulima tubaki na majembe yetu sioWatu wa kudate nao ni
Engineers
Doctors
Hawa wenginee ni pasua kichwaaa. Ila hizo kada 2 wako real haswaa na wamenyooka km rulaaaaa.
Antonnia
Tinsley
sophy27
Bantu Lady
Somo liwaingieee.![]()
Wigelekelo anafanya sherehe huko na mwenzie GlennHuendi kokote, ungeuliza kwanza kabla ya kuingia kwa Wakurya. Wigelekelo hebu muelezee vizuri huyu ndugu yako.