Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa huyo Madam ni anawakung'utaje wabafunziiii wakikaa vibaya mateke makofi hapohapooo na mitusiiii juuu..tena matusi ya nguoniii kabisa utasikia matak ya babako na wabafunziiii wote wapooo muda mwingine na walimu wapo tunabaki kuziba midomo tu kwa aibu yee walaaa hana hata habari;!
hahaha huyo ni balaa aisee .
sijui ni mkuria wa wapi huyo nyamongo au wapi ?
kha anatukanaje watoto hivyo
 
mambo gani hayo dah
hakwenda hata kumshitaki dawati la jinsia huo ni uonevu .. Mungu aniepushe na watu wa kule dah
sijawahi hata kupigwa duh
Aende kushitaki hajipendi??? Atarudishwa kwaooo kwa muda usiojulikanaaa hadi akili imkae Sawa
 
That's genious kurya Babegirl!!
Kuna mwalimu mmoja ni wahuko mkewe pia ni wahuko ila mke hajasoma kabisa Alooooooohh!!! Ni anamnyanyasa mkewe hadi sio poa na elimu yake yote mmxxcieeeeeeeewww!

Kuna Siku alimkata eneo la lips asubuhi tunaamka tunaona mtu ana jeraha la panga Jamani jamani Jamani !!
Halafu unaambiwa wanawake wa kule ndio wanapenda swaga hizo yaani asipopigwa eti anaona kwamba hapendwi
 
Sasa huyo Madam ni anawakung'utaje wabafunziiii wakikaa vibaya mateke makofi hapohapooo na mitusiiii juuu..tena matusi ya nguoniii kabisa utasikia matak ya babako na wabafunziiii wote wapooo muda mwingine na walimu wapo tunabaki kuziba midomo tu kwa aibu yee walaaa hana hata habari;!
Huyo angekutanaa na kichaaa km miee ningemfurahishaaaaa.
wallah.
 
Back
Top Bottom