Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Kabisahahha maandalizi muhimu
nimekunywa ile yenye maziwa duh ni kali
Ukajua unakunywa yenye maziwa?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Kabisahahha maandalizi muhimu
nimekunywa ile yenye maziwa duh ni kali
Roho mbaya tuDah hiyo hapana love. Maalumu kwa mtu mmoja tu![]()
Popo kanyea mbinguAlikua anatumia username gani Kwani???
Marahaba mdogo wangu
UmemsanuaThats ma genius kurya Babegirl!! Una akili sana dear unajua kutegua mitego
![]()
Babu yako'Halafu hii tabia ya kujiita babu babuu humu hiii!
!
nilitaka kujua ladha yake aise nimekoma
hahaha nimeelekezwa na washikaji . Kuna kavu pia aisee .
Sijui kama itakubalikaSasa utanilinganisha na nyie vitoto vya jana, sophy27 nishamuweka sawa, naenda Tanga kupeleka barca ya posa![]()
Marahaba mdogo wangu
Bila shaka uko poa
Achana na Wige mhuni huyo
Wakatili sana, nia sijui wasiwe wanapenda naona...ah kumbe
ndo hicho kinakatwa dah
wanafanyiwa wenzao vibaya wasisikie raha dah .
umeamkaje sweetie ?
Acha roho ya kwanini ngosha, hutaki ziwekwe kwenye kisosi? Hawa watanga ni hatari ujue🤣
Wewe kweli mkuryaWakatili sana, nia sijui wasiwe wanapenda naona...
Unajua nyumba Ntobhu?

Si unakujaAcha roho ya kwanini ngosha, hutaki ziwekwe kwenye kisosi? Hawa watanga ni hatari ujue![]()
mila mbaya hizo dah ... Naifahamu nyumba ntobhu , ke anaenda kuoa mwanamke ili apate watoto dah . Sijawah kuielewa hiiWakatili sana, nia sijui wasiwe wanapenda naona...
Unajua nyumba Ntobhu?
Sipendi wanavyodharau watoto wa kike dah . wanaonewa dah . nimepitia changamoto tulizaliwa ke tupu . maneno yakawa mengiWakatili sana, nia sijui wasiwe wanapenda naona...
Unajua nyumba Ntobhu?
Wanakandamiza sana watoto wa kike, kwao mtoto wa kiume sijui ndiyo urijali!!!Sipendi wanavyodharau watoto wa kike dah . wanaonewa dah . nimepitia changamoto tulizaliwa ke tupu . maneno yakawa mengi
Mwanamke mwenye pesaaa/ uwezo wake anaoa mwanamke mwingine kwa Lengo la kumzalia watoto tu! kama sihasahau lakiniWakatili sana, nia sijui wasiwe wanapenda naona...
Unajua nyumba Ntobhu?