Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,691
Yes ni hivyo "Nyumba Ntobhu" nyumba bila mume...Mwanamke mwenye pesaaa/ uwezo wake anaoa mwanamke mwingine kwa Lengo la kumzalia watoto! kama sihasahau lakini
Mmama mtu mzima mjane, ama ambaye hakuwahi fanikiwa kupata mtoto.
Anaoa binti analipa na mahari, but hakuna mauhusiano ya kimapenzi. Anamtafutia mume, wakizaa watoto ni wa Mama mtu mzima, anaendeleza ukoo.