Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata mie mtata sanaa tyuuh.

Nlikua naona dada 1 alikua ana date na mtu wa huko, yaan alivyokua ana mpelekeshaa, nkajisemeaa amemkutaa zobaa akutanee na mwendawazimu km mie, ningemfurahishaa haswaaa.
Love usiseme watu wa huko ni unique, wakigombana hakuna polisi alikuwa akiingilia. Kuna maugomvi ya koo miaka na miaka.
Polisi hawagusi, Mkurya akikwambia nitakugecha, panga lazima lishuke na damu.
Walishindikana, mpaka wakaundiwa kanda maalumu ya kipolisi.
 
Back
Top Bottom