cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,977
- 189,744
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio mbaya
ni wakati sahihi
Umeamkajeee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio mbaya
ni wakati sahihi
Wallah tunakimbiliaa kukumbatiaa udongo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Good Morning to Carrasco putin Tinsley National Anthem Lizzy myoyambendi Antonnia Grahams cocastic Ms cee Wigelekelo Saint Anne Mjep Lovelovie January inaenda mbio sana cjui tunakaribia kufa!
nipo poa na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeamkajeee?
Awwwwwwwwwwwww Bantu Lady kumbe ndio unaenjoyyy hii mutu Alooooooohh 😍😍😍😍😍😍😍😍!!1,2....😊
kupakwa mafuta lazima uandaliwe kisaikolojia [emoji2]Kumstiri nahisi ninouma Ndiomana Ally mpemba hakutaka kumwambia kwa haraka haraka!!
Sijui ataendelea lini sasa nae hatabiriki sikuhizikupakwa mafuta lazima uandaliwe kisaikolojia [emoji2]
Thanks best!😆Awwwwwwwwwwwww Bantu Lady kumbe ndio unaenjoyyy hii mutu Alooooooohh 😍😍😍😍😍😍😍😍!!
Kama mkurugenziiiiiii santo sana hakika mchana wangu unaenda kuwa bareeeeeeeedaaaa kabisa!! Kweli Bantu Lady anaenjoy best
Wabheja sanaa
Tunakuombeaaa ukamilishe na kufanikisha babuu!!View attachment 2477237
Tuombeane Kheri Wandugu, nipo Mafao House kufatilia Pension yangu 🤗
Hello Wednesday 🥂
Kila la heri bosi. Nilikuwa hapo juzi. Wamenipunguzia mafao yangu bila sababu. Shwaini zao! [emoji706][emoji706]View attachment 2477237
Tuombeane Kheri Wandugu, nipo Mafao House kufatilia Pension yangu [emoji847]
Hello Wednesday [emoji1635]
Apumzike anapostahili!Yaani tumempoteza ngosha mmoja kwa sababu za kijinga sana. Jamani mabinti muwage na huruma sometimes. RIP Masalakulangwa [emoji1545]
View attachment 2477252
Niko poaaaaahnipo poa na wewe
Asante Msukuma Nashukuru mungu Nimepona! Habari za nyie??Umepona vizuri BL?
Pole kwa kuumwa.