Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,417
Tuko poa. Tunapambana na January. Kazi kweli kweli ila tunamshukuru Mungu kwa yote. Bado umekwama kwa Wanyaki?Nashukuru mungu Nimepona besttttttt! Habari za nyie??
Tuko poa. Tunapambana na January. Kazi kweli kweli ila tunamshukuru Mungu kwa yote. Bado umekwama kwa Wanyaki?Nashukuru mungu Nimepona besttttttt! Habari za nyie??
I4n 14 apate wapiiii,Yaani tumempoteza ngosha mmoja kwa sababu za kijinga sana. Jamani mabinti muwage na huruma sometimes. RIP Masalakulangwa
View attachment 2477252















Njanuari noma sana msukuma! Ila itapita salama tu!Tuko poa. Tunapambana na January. Kazi kweli kweli!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!I4n 14 apate wapiiii,
Waseme alimpa pesa yote ya Boom, ndo wakomeee kuendekeza mapenzii wanasahau kilicho wapelekaa chuoni.
Ukisemaa watu msiendekezee mapenzi, unaambiwa sio rijali wee shogaa mara msagaji. Sasa marijali wanaendaa kufukiwa chini huku wanaowasema wame left groups wanakulaa dona km kawwa.
Na badoo wafe sanaa had akili iwakae kuwa mapenzi sio lazima. Nna furahaaa mnoo, nikisikia kifo kimetokana na mapenziii.
Yaan full burudaaaaaaaniiiiiiiii!!!![]()
!
Wakomeeee kuendekeza vitobo sio!






nna furahaaa hapaaa hatareeee. 








Hahahaaa... haitoshi ongezaaaaaa!nna furahaaa hapaaa hatareeee.
Linaenda kuzikwaaaa na kukumbatia udongo kijana mdogo, eti. Kisa tobo, afu anamuachaa demu anakunjwa 7 km kawaaaaaa.
Marijaliiiiii woyeeeeeeeeeeeee??? Sauti inatosha au niongezeee kidg??![]()
Hahahaaa... haitoshi ongezaaaaaa!










yaan nna furahaaa mnooooo







Hahahaahahaahaha!yaan nna furahaaa mnooooo
Wamesikia na kuelewaaaa.
Kwanza em niende group la chuo, nkawachachue watu na hii taarifa,
Nna furahaaaa mnoooo yaan aiiiiiiiiiiiih
Huyu malkia mrembo ajageuka bado tu huyu mrembo anaonekana mtamu aiseeSubirini nitageuka...🙃😉View attachment 2476464
Sema amin ya radi kwa Lizzy wakeeeNational Anthem nasikia uko kisiwa cha karafuu unapikiwa wali kibaba na mshkaki mmoja hapo kwa Lizzy
kadri mda unavyo enda tunakaribia kufaaa, tujitahidi kupunguza dhambi.. nimetoka kwa Mwamposa hapaGood Morning to Carrasco putin Tinsley National Anthem Lizzy myoyambendi Antonnia Grahams cocastic Ms cee Wigelekelo Saint Anne Mjep Lovelovie January inaenda mbio sana cjui tunakaribia kufa!
umeishampigia puchuHuyu malkia mrembo ajageuka bado tu huyu mrembo anaonekana mtamu aisee
Uchungu wa kujitakia,wengine wanaendaga hadi ukweni kujifanyisha mikazi na wanapigwa chini.
Yani kunaitwa kujipendekeza aiseee .Uchungu wa kujitakia,wengine wanaendaga hadi ukweni kujifanyisha mikazi na wanapigwa chini.
Bora kwenye ndoa,Yani kunaitwa kujipendekeza aiseee .
so sad aiseee bora ufanyishwe mikazi kwenye ndoa na sio kabla .