Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,907
- 57,704
Ngoja nimwambie Bibi yenu tuanze kuandaa Pass zetu za kusafiria mapema 🤸🤸Yule yuko vizure sana babuu kiukweli mjukuu wako nina bahati sana! Kasema next holiday umwambie unataka kwenda kuspend wapi ata offer everything wewe na bibi hadi vacay iishe!
