Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣! Grahams nae pia wangu lol sio ERoni tena????😂😂😂! Kwa Misuli ileee Alooooooohh 🤣🤣🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!

Poka mi Jf siwaweziii mieeee 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Mimi nachojua tayari ulishamleta Mkwe nyumbani, na bahati nzuri na mahari alilipa yote yule Mwanaume!

Hapa tunasubiri utuletee Vitukuu tu Babu yenu niwe nacheza navyo 🤗
 
Mimi nachojua tayari ulishamleta Mkwe nyumbani, na bahati nzuri na mahari alilipa yote yule Mwanaume!

Hapa tunasubiri utuletee Vitukuu tu Babu yenu niwe nacheza navyo 🤗
Kabisa babuu mkwe ni yule yule hakuna mwingine!!😁!
Wajukuu wanakuja soon utacheza nao tani yakoo
 
Antonnia baada kushindwa kulipa marejesho ya vikoba na kuzuga umeibiwa ili tukuonee huruma tunajua ulimkamata kibabu cha watu Grahams umemkwangua hela zake zote za pensheni ya fao la uzeeni! Kuwa na huruma mrudishie hata robo.
Hahahaha............... huyo ni Mjukuu wangu, hawezi kunifanyia hivyo Babu yake 🤗
 
Kabisa babuu mkwe ni yule yule hakuna mwingine!!😁!
Wajukuu wanakuja soon utacheza nao tani yakoo
Ila yule Mwanaume sijui ulimpata wapi Mjukuu, ikitokea na Wadogo zako wakaniletea Wanaume wa Vile Mbona Babu yenu nitarejesha hela zote nilizotumia kuwasomesha English Medium 🤗

Imagine nilipomwambia alete Koti la Babu alienda kununua Italy 🤸🤸
 
Yule yuko vizure sana babuu kiukweli mjukuu wako nina bahati sana! Kasema next holiday umwambie unataka kwenda kuspend wapi ata offer everything wewe na bibi hadi vacay iishe!
 
Muwe na siku njema wapendwa take care of yourselves !!

Goood Moooorrrrnnnniinnggggggg!
20230110_082344.jpg
 
Back
Top Bottom