Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sikuhizi nakujaga pale getini magu host na park nachukua zangu namba mbili tatu; mshaleee.

Najisemea nilikuwa nawala kwa macho tu enzi zile napiga chato pori to mabibo;
Unakumbuka tuu enzi zile umekaaa pale k.koo madukani watu wanapita na gari na watoto wakali.

Nakumbuka kuna Mwamba alimuona dem wake kabebwa kwenye gari pale kwenye zile halls za karibu na yombo 1&2.

Ilikuwa ijumaaa. Dem akazima simu Mwamba akanywa sumu aliponea kairuki hospital.
 
khaaaah seriously???
 
Simu 2000_mnazi mmoja

Mawasiliano ndani_kijazi interchange_riverside_external_mwananchi_buguruni_malapa_mtaa wa congo pale_na mnazi stendi hahaha Yani andaa buku buku na buku mbilli za kutosha.
duh hatari siku
ila wewe siku ukipita hapo ita kwa nguvu nisikie maana nayasikia mabusi
Simu 2000_mnazi mmoja

Mawasiliano ndani_kijazi interchange_riverside_external_mwananchi_buguruni_malapa_mtaa wa congo pale_na mnazi stendi hahaha Yani andaa buku buku na buku mbilli za kutosha.
 
sio mtoto wa kishuaa, afu mie mwenzenu mambo ya cafeteria hapanaaa. Nshazoea kula n home kwangu.

Hata shule O level na advance, mie nilikua nakulaa jioni tyuuh, mchana mara chache sanaaa.

Nshazoea kushinda kutwaa nzima bila kula, mwanzo wengi walijua na pretend kumbe ndo niko hvyoo sahv washanizoea.
Nyinyi wamagetoni......

Wazee wa kuishi kinyumba Muke na mume..chuo kikiissha tuu ndoa kwishney
 
Unakumbuka tuu enzi zile umekaaa pale k.koo madukani watu wanapita na gari na watoto wakali.

Nakumbuka kuna Mwamba alimuona dem wake kabebwa kwenye gari pale kwenye zile halls za karibu na yombo 1&2.

Ilikuwa ijumaaa. Dem akazima simu Mwamba akanywa sumu aliponea kairuki hospital.
Ukiwa kariakoo! Umetulia kwa fundi viatu yule; weekend Kama hii watoto wa hall three wanapishana tu.

Hahaha hall 6 ile; inauma sio poa.
Dah demu alivyorudi Sasa ikawaje?
 
Walienda kumalizana kule kwenye ofisi ya gender. SASA hivi huwa tunamkumbusha tuu kwenye wasap group anacheeka haaamini
 
Back
Top Bottom