Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yule dada white; mchaga flan Hivi nishakisahau jina.

Kuna kipindi Hali ilkuwa ngumi tukawa tunawazungukia wa pishi wa coet caftelia tunachanga jero jero na Wana Kama buku 2.

Iyo tandamu ya wali na nyama usipime kisha baada ya hapo unachukua kidumu chako enda ku download maji unaganga ya Kesho.
@cocastic huyu mtoto WA kishua sidhani Kama analijua lile chimbo la coet kule.

Kapachino miaka yote sikuwahi kujua ule msosi mwingi kutoka chimbo la koet linapikwa na nan?

Hivi alikuwa haweki hamira Yule?
 
01b0aef6f9ad3f7ea554bb2773d6ca5c.jpg
 
Walikuwa wanatumiksia wale.

Wale wa pishi walikuwa wanawapikia cafe staff ile iliyokuwa nyama kule.

Kabla hawajakipeleka ndiyo walikuwa wanatupigia panga sie, na walikuwa wanapeana zamu.
@cocastic huyu mtoto WA kishua sidhani Kama analijua lile chimbo la coet kule.

Kapachino miaka yote sikuwahi kujua ule msosi mwingi kutoka chimbo la koet linapikwa na nan?

Hivi alikuwa haweki hamira Yule?
 
@cocastic huyu mtoto WA kishua sidhani Kama analijua lile chimbo la coet kule.

Kapachino miaka yote sikuwahi kujua ule msosi mwingi kutoka chimbo la koet linapikwa na nan?

Hivi alikuwa haweki hamira Yule?
sio mtoto wa kishuaa, afu mie mwenzenu mambo ya cafeteria hapanaaa. Nshazoea kula n home kwangu.

Hata shule O level na advance, mie nilikua nakulaa jioni tyuuh, mchana mara chache sanaaa.

Nshazoea kushinda kutwaa nzima bila kula, mwanzo wengi walijua na pretend kumbe ndo niko hvyoo sahv washanizoea.
 
Back
Top Bottom