Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mda huo Mie ntakuwa nipo kwa mwamposa nimeenda kula vichwaa; si unajua leo jumapili pale Watu Kama wote.

Usisahau kubeba memory card leo T.
Hahaha safari njema
unabadilisha tu route

hii memory inanigomea ..kwenye simu haionyeshi .
 
hahah wanawakaba aisee
nilikuwa nawaonea huruma magari pale mawasiliano wapo , ukija Mwenge ndo wanawasubiria .
Simu 2000_mnazi mmoja

Mawasiliano ndani_kijazi interchange_riverside_external_mwananchi_buguruni_malapa_mtaa wa congo pale_na mnazi stendi hahaha Yani andaa buku buku na buku mbilli za kutosha.
 
Sikuhizi nakujaga pale getini magu host na park nachukua zangu namba mbili tatu; mshaleee.

Najisemea nilikuwa nawala kwa macho tu enzi zile napiga chato pori to mabibo;

Ndo naelekea maeneo, nikaanze kuheshabu magari yanayobeba dents,

Mwingnee kaachiwa ukimwiii, anabakii kuhaha, afu dogo wa 2nd yr, alidhan kupanda Prado TX mchezoooo.

Nawatazamagaaa nasema hiiii. Lol
 
Ndo naelekea maeneo, nikaanze kuheshabu magari yanayobeba dents,

Mwingnee kaachiwa ukimwiii, anabakii kuhaha, afu dogo wa 2nd yr, alidhan kupanda Prado TX mchezoooo.

Nawatazamagaaa nasema hiiii. Lol
Yani wenzako wanapelekwa kula maisha; we uko kushangaa shangaa kindezi ndezi tu.

Sema story za dent wa prado ni wivuuu tu! Hahaha tatizo wengine hamna nyota.
 
Yani wenzako wanapelekwa kula maisha; we uko kushangaa shangaa kindezi ndezi tu.

Sema story za dent wa prado ni wivuuu tu! Hahaha tatizo wengine hamna nyota.
niwaoneee wivuu mie?? Nimechekaaa sanaaa. Alikua analia kwangu na nlimuuliza ume date na wangapi, alisema wa 3 ila homa lazima amepata kwa yule baba. Wawili ni wanafunzi wenzie.

Ningetaka kudate na ma profoo, bas ingekua tangu niko 4m 3. Sio type zangu mie watu wakubwaaa.

Naenda kuangaliaa ndyooo. Afu sio shda zangu.
 
Kwaiyo unatupenda dogo dogo Kama siye aka viben 10
 
_ (12).jpg
 
Back
Top Bottom