Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
wewe kila route umo .. uliniambia upo mbezi - makumbusho .Huwa tunaita kufa kufaana;
Uwe unanipigia simu Sasa usiwe unafeli jirani;
Yeah mpo vizuriWakati sie ndio waume Sasa
Hatuna mda wa kuchezea Tena watoto wa watu zaidi ya kutangaza ndoa
Hahaha nyuki_ simu 2000wewe kila route umo .. uliniambia upo mbezi - makumbusho .
Aisee mnapata tu helaHahaha nyuki_ simu 2000
Mbezi asubuhi tunaiba;
Na jumapili Kama hizi huwa hazina shida.
Mi mpaka matembele ya pili kwa nabii suguye uko nawapelekaga siku Kama izi
Suguye nasikia kafungiwaMi mpaka matembele ya pili kwa nabii suguye uko nawapelekaga siku Kama izi
Unatembea ulikuwa unaenda wapi fremu 10?Suguye nasikia kafungiwa
ila nilikuwa naona jpili watu wanavyojaa pale
Yeah nilienda hukoUnatembea ulikuwa unaenda wapi fremu 10?
Route za uko chanika_kivule nimepiga Sana; gari zikiwa hazina usajili afu mbovu mbovu tunazikimbiziaga njia za porini.Yeah nilienda huko
mji mzima unaujua eehh
hata huko Zingiwa
njia za porini ndo wapi ??Route za uko chanika_kivule nimepiga Sana; gari zikiwa hazina usajili afu mbovu mbovu tunazikimbiziaga njia za porini.
Ohoo oknjia za porini ndo wapi ??
hahha huko ndo kwetu
Nimesoma Pugu mie
Nimetoka sasabaUmeenda kanisani lkn?
Njia za porini ni njia za pembemeni mwa mji uko. Haunogi ukiwa unatoka zako mboto gari zikifika banana konda anasema ngoja tusubiri gari za porinjia za porini ndo wapi ??
hahha huko ndo kwetu
Nimesoma Pugu mie
Safi sana!Nimetoka sasaba
Hivi ukaishiaga wapi tena?
ookay sawaOhoo ok
Nilikuwa nikifika zangu mboto usiku ile mida ya saa nne; nnauma mzigo wa abiria kwenda chanika sijawahi upakia mpaka leo.
Nyie wa town mnabagua Sana gari! Mnataka mmpande visu aka umeme.
Toto la kikurya
ookay sawa
hahha plate number C sipandi .. hayo ma DCM hadi niwe na haraka ndo napanda .