Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Utubless na kaselfie love 😘😘😘Huhuhuh ushanipa hamu ya kuvaa vyangu, mie rangi nyeupee.
Nikirud home ntaendaa kuvaa nizurure navyo





sahv watu wanakula msosi wa kisasa. Uzungu mwingiii.
Asante best KapachinoMtoto guu;
Baadae nawekaa,. Japoo miguu yangu siipendi ni mianzii mnooUtubless na kaselfie love![]()






kati ya wadada wote humu mie ndo rough aisee 😅
ntaamini dear eti.
Wee uko motrooooooohkati ya wadada wote humu mie ndo rough aisee![]()






Mara sijui chunusi;Bandari ya Mbweni
mambo ya majini aisee
sipendi kusikia habari hizo , tulijuta kuongea naye ..
ah wapiWee uko motroooooooh
Yaan ni![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Rangi rangi ile ni 🔥🔥🔥🔥🔥 😍😍😍😍😍😍Baadae nawekaa,. Japoo miguu yangu siipendi ni mianzii mnoo
![]()
kumbe ni commonMara sijui chunusi;
Hasa mbudya Kuna story izo Sana.
Hahaha huwa tunawwpulizia Moshi ule ambao hawapendi kuusikia;
Hahahakumbe ni common
dah sie alituambia mtu akimchezea tu yeye hapotezi muda ni anamaliza tu .. mvuvi yule ilibidi tuondoke pale .
Hahaah hata tulitoka eneo lile maana tulikuwa busy na kujenga nyumba za mchanga 😅😅Hahaha
Ulivosikia hapotezi muda anamaliza tu;
Mbio Kama zote. Kama nakuona vile
Sikuhizi nakujaga pale getini magu host na park nachukua zangu namba mbili tatu; mshaleee.sahv watu wanakula msosi wa kisasa. Uzungu mwingiii.
Sie wengine pangu pakavu.
Dada mzuri mzuriKafanyaje???
Acha maneno tupia pic😅Baadae nawekaa,. Japoo miguu yangu siipendi ni mianzii mnoo
![]()
Na leo Ni jumapili utaenjoy Sana.Hahaah hata tulitoka eneo lile maana tulikuwa busy na kujenga nyumba za mchanga 😅😅
Umeshanitamaanisha niende kuzurura .
Hakika ..Na leo Ni jumapili utaenjoy Sana.
Mda huo Mie ntakuwa nipo kwa mwamposa nimeenda kula vichwaa; si unajua leo jumapili pale Watu Kama wote.Hakika ..
Ngoja nisubiri jua lipoe kwanza ..