Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Polisi wangempa ukweli huyo dada
au karogwa
Polisi wangempa ukweli huyo dada
Sio kutwanga hivyo kupigwa tu hata makofi,hao walianza kupigana pole pole mpk Sasa wanapigana hvyoYaani mtu akifikia kiwango Cha kukutwanga hivyoOndoka
Hivi umeona mchumba wako Jack Palladino ana babe mpya lakini?
Coca usinichekeshe 😆😆😆Mmetokelezeaaaa mnoooooo.
Couple imekaa penyeweee.
Msalimie shemelaaaa.![]()
Kafanyaje???Huyu hapa 😓
Ahaaa huyo ni ex wangu, mchumba wangu ni Bantu Lady sawa?Hivi umeona mchumba wako Jack Palladino ana babe mpya lakini?
Tutakuroga nakwambiaAhaaa huyo ni ex wangu, mchumba wangu ni Bantu Lady sawa?
Wewe na mtakatifu au?🤣🤣🤣Tutakuroga nakwambia
Naaam naaam....kitu mdoshoKijogoo.![]()
Ndyoooooooh!!!Nimemuona aisee type zako hizi noma
anakula upepo wa baharini





Baada ya kutumikia kifungo cha kulala barazani kwa kutonyoa nywele na ndevu kihandsam, ilibididi niimbe mwimbo mzima na swagger zote kuruhusiwa kurudi kulala kwa sita kwa sita...








Mornieee too!!





Hahahah wewe ukiweka miguu ya beer tuu inatoshaMornieee too!!
Cna shoes mie,![]()
EeehWewe na mtakatifu au?![]()

Ngoma Kali saana. HiiiBaada ya kutumikia kifungo cha kulala barazani kwa kutonyoa nywele na ndevu kihandsam, ilibididi niimbe mwimbo mzima na swagger zote kuruhusiwa kurudi kulala kwa sita kwa sita...
📸