Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakufwaaaaa Cocaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe shem wangu. Hata hamna kitu alionyesha upendo wa malike km yote. Nikashukuru jamani.. miye wangu Jack Palladino hata sipepesi macho kwingine love
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiwooooooo niachieni boss wangu Mjep ,

Ndoa inafungwa ktk St petro Rome Vatican. Harusi ukumbi ni anfield. Mume wangu livapulga fan. Uwiiiii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo mshenzi sana huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee lekchaaa vipi? Jimbo la Mjep hili.
Hana mambo mengi afu, c unaona alivyo mzungu wa rohoooo

Mumuacheee mkalia ini wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee lekchaaa vipi? Jimbo la Mjep hili.
Hana mambo mengi afu, c unaona alivyo mzungu wa rohoooo

Mumuacheee mkalia ini wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Eheee Mjep hongera sana mkuu!..umewezaje kukituliza hiki kiumbe?
 
Naona Unaua yeyote ataeingia 18 zakoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji123][emoji123]!!

Jf sihamiiiiii [emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732]
Sitakiiiiii utani kwa mume wangu, nimemtengeneza mie huyu na kumshapee awe hivi. Afu watu wanataka kumkwapuaaa??

Watajua hawajuiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee mkurya kweli wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Gecha mtu muraaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbavuu Zanguuu [emoji1787] cocastic
Waniachieeeee engineer wanguu, sitakiii utaniiiii.

Nayee si ana injiniaa wakee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20230104-142416.jpg
 
Sitakiiiiii utani kwa mume wangu, nimemtengeneza mie huyu na kumshapee awe hivi. Afu watu wanataka kumkwapuaaa??

Watajua hawajuiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Bantu Lady mkurya gani wewe hebu muoneshee mngoni huyu hakujuuiiii😁😁😁😁 Bwana si kaja mwenyewe wee mvae tyuuhhh🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁

Mi Nimekaa paleee nawatch muviiii 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom