Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wige kwani mpaka uzaliwe naye? Naachaje Tall, white and handsome, rich [emoji39][emoji39] msafi ile mtanashati, msomi ni Eng wa.... mguu wa mtoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Romantic na zaidi kafa kaoza. Sasa naanza tafuta aina hii naipata wapi tena. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Nina swali

Vile vitu vinafanyikaga kule nyanchabakenye

Havijakukumba?

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Ahsanteeeeeeeeee!! Tupooo wengiii tunaopendaa kwanza afu helaa baadae. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Hisia kwanza bhana, mengine baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Love tunafanana kumbe, yaani kwanza upendwe, udekezwe mambo ya kiromantic...
pesa ni matokeo tu, hata mimi nazitafuta. Team love ❤
 
Dada taratibuu mambo yakooo, usiijie pupa selfikaaaa.
Mjep ni mume wangu, una muita wa nn?? Ntakubondaaaaaa.

Jokes tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Deeeejjjjaayyy waletrreeeeee Waletreeeeeeee 💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸😁😁😁😂😂😂Nipo hapa nakula popcorn Jf sihamiiiiii 😁😁😁😂😂
 
Dada taratibuu mambo yakooo, usiijie pupa selfikaaaa.
Mjep ni mume wangu, una muita wa nn?? Ntakubondaaaaaa.

Jokes tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakufwaaaaa Cocaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe shem wangu. Hata hamna kitu alionyesha upendo wa malike km yote. Nikashukuru jamani.. miye wangu Jack Palladino hata sipepesi macho kwingine love
 
Wige kwani mpaka uzaliwe naye? Naachaje Tall, white and handsome, rich [emoji39][emoji39] msafi ile mtanashati, msomi ni Eng wa.... mguu wa mtoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Romantic na zaidi kafa kaoza. Sasa naanza tafuta aina hii naipata wapi tena. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Kumekuchsaaaaaaa sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakufwaaaaa Cocaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe shem wangu. Hata hamna kitu alionyesha upendo wa malike km yote. Nikashukuru jamani.. miye wangu Jack Palladino hata sipepesi macho kwingine love
Wee mkurya kweli wewe?😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣Gecha mtu muraaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbavuu Zanguuu 🤣 cocastic
 
Back
Top Bottom