Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Bantu Lady mkurya gani wewe hebu muoneshee mngoni huyu hakujuuiiii😁😁😁😁 Bwana si kaja mwenyewe wee mvae tyuuhhh🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁

Mi Nimekaa paleee nawatch muviiii 🤣🤣🤣
Mimi Mkurya mchanganyiko wa Congo, Zambia but bado mkali balaa... Sema sikuwa namtaka 🤣🤣🤣🤣 Selfika pangewaka mbona natania bana. Nampenda Cocaa bana, love uchochezi huu leo kwemaaaaa 😄😄😄😄
 
Wew ndo naona umevuta bangi mbichi Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Coca atakuwa kavutia chooni imechanganyika na harufu ya kule[emoji23][emoji23][emoji23]
Bangi natafuna, ingine naoga naloweka km dawa ya kutoa nuksi na gundu mwilini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
War bus
IMG_20230104_133458_904.jpg
 
Back
Top Bottom