Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

weeeehh kwaile selfii yaile siku thubutuuuu!
Bado yanki sana tena kijana mmoja matraaatraaaaa sanaaaa wa kwenda roundi heavy😁!
Huo Uyanki utoke wapi na Umri huu, saivi tumebaki na nafasi moja tu WAZEE WASHAURI.

Mkigombana huko na Waume zenu Sisi Wazee tunashauri tu 🤪

Ngoja nikimbizane na Kupanda mahindi yangu hapa shambani, msiache kuja kutusaidia Palizi tu 🤗
 
Mimi Mkurya mchanganyiko wa Congo, Zambia but bado mkali balaa... Sema sikuwa namtaka 🤣🤣🤣🤣 Selfika pangewaka mbona natania bana. Nampenda Cocaa bana, love uchochezi huu leo kwemaaaaa 😄😄😄😄
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

Selfikaaaaa mahusiano Mapenzi na kuwekana 😂😂😂😂🤣🤣🤣!!

Jf sihamiiiiii 😁🤣
 
Eheee Mjep hongera sana mkuu!..umewezaje kukituliza hiki kiumbe?
@Mjep mume wangu, mahabubha, laazizhi, mkalia ini, tamuu yangu, wangu pekee yangu, uwezaye kunituliza akili na mwili.

Njoo baba utoe muongozo, unaitwa huku. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo Uyanki utoke wapi na Umri huu, saivi tumebaki na nafasi moja tu WAZEE WASHAURI.

Mkigombana huko na Waume zenu Sisi Wazee tunashauri tu 🤪

Ngoja nikimbizane na Kupanda mahindi yangu hapa shambani, msiache kuja kutusaidia Palizi tu 🤗

Tunakupa cheo cha Babu mshauri selfika 😂😂!

Kam kauwaaaa kuanzia palizi hadi mavuno lazima wajukuu tuje kumsaidia bibi nyie mpumzike!!
 
@Mjep mume wangu, mahabubha, laazizhi, mkalia ini, tamuu yangu, wangu pekee yangu, uwezaye kunituliza akili na mwili.

Njoo baba utoe muongozo, unaitwa huku. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Masikini Mjep amekwishaaaa🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bantu Lady mkurya gani wewe hebu muoneshee mngoni huyu hakujuuiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Bwana si kaja mwenyewe wee mvae tyuuhhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]

Mi Nimekaa paleee nawatch muviiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anatujua wangoni anatusikiaa? Amuulize mwanaume mwenyewee, huwa anatamka lugha 27 anazopaswa kutamka akiwa kitandani.

Weraaaaaaaaaaah mtuaaacheeeee mapenziii yametufikia wenyeweeeee.

Mjep nakupendaaaa mume wanguuu. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom