Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wige kwani mpaka uzaliwe naye? Naachaje Tall, white and handsome, rich 😋😋 msafi ile mtanashati, msomi ni Eng wa.... mguu wa mtoto 🤣🤣🤣🤣 Romantic na zaidi kafa kaoza. Sasa naanza tafuta aina hii naipata wapi tena. 😍😍😍😍
Watu weeeuweeeeeeeeeeh 💃💃💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸

Ndrrriiioooo ndrrriiiiiiiioooo!
Watruu na Mainjinia wenyuuuuu👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌Aweeeeeeee
 
Asante luv. Anafatilia maana ni mtu mwenye wivu sana. Ni kijana but nachoshukuru ana hekima sana. Bila hivyo akiona kitu hajapenda, atauliza.
Sababu maisha ya kawaida miye ni mwaminifu, so vya huku anajua nahave fun tu.
Sema hajakutana na comment zangu za kuflirt atakufwaaaaa
nimechekaaaaa mnooooooo.
Watu na watuweee, mdumu mileleeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mademu wa kikurya

Mna ngozi inayoteleza

Nadhani samli maziwa na kichuri

Ukinipa mbona fresh tu

Ila Mimi kugandana kama brake pads hapana

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ngozi za Wakurya nzuri sana hadi wakaka. So Wige hutaki kugandana, ili uwe free kutongoza tongoza ama?
Valentina Amekuuliza babe wako nani humu? Anataka kujiweka...
 
Wige kwani mpaka uzaliwe naye? Naachaje Tall, white and handsome, rich 😋😋 msafi ile mtanashati, msomi ni Eng wa.... mguu wa mtoto 🤣🤣🤣🤣 Romantic na zaidi kafa kaoza. Sasa naanza tafuta aina hii naipata wapi tena. 😍😍😍😍
Huwezi ipata popote palee uache bange zakoo na kukaa kwa utulivuuu 👌👌👌👌!!

Sema mi Black 🍆 zinanimalizaaa sanaa!!!
 
Mimi tena rafiki yangu? Wapi nimeshoboka
Hujanijua mimi napenda mtu anipende, kuliko kunipa hela. Yaani awe Romantic anipendee hata asiponipa hela nitampenda. So hela haiwezi nivuta kwa mtu kamweee
Ahsanteeeeeeeeee!! Tupooo wengiii tunaopendaa kwanza afu helaa baadae.

Hisia kwanza bhana, mengine baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom