Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nijilipue wapii?? Saii kila mtu apambane nahali yake tyu no way kule sirudi hata kwa mtutu[emoji16][emoji16][emoji41]!
Nipe siri ya kudumu na Mtu humu mi nilishashindwaga kipenzi!!
Ulishindwaaa au uliachwaaaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazeee hapanaa mwsho waanze kuniambia niwe navaa codes za ofisini akati sio fleva angu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wazeee hapanaaa, ngojaaa nikupasieeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niko hapa nawasubiria kipenzi unajua nivokufa nikaoza kwa vibabu miye😁😁 Vijana bakini nao wenyeweee😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasema siweziiiiiiii, mwenzio mie kumpiga dendaa babee angu hadharan sishangai, kumkumbatiaa, kujidekeza na kujishauaaa hizo sio shda zanguuu eti.

Wawezeee wengineee, mie hapanaaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio hadharani vepee kila kitu mafichoni hukooo😂😂😂!!
 
Niliachwaaaaaaa tena kuachwa kwa mbwembweeee sio kidogo hadi nilikomaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!;
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti hukumuweka wazi km umeolewa na umezaa mara 2, hadi mshono wa oparie ukamuonesha mwshoni.

Ila nyie had uzi mkaweka hapa, ila vizuri mko real, nlipendaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti hukumuweka wazi km umeolewa na umezaa mara 2, hadi mshono wa oparie ukamuonesha mwshoni.

Ila nyie had uzi mkaweka hapa, ila vizuri mko real, nlipendaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliweka Nyuzi moja sasa🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣😂 Mbavu zangu hukuuu ! Hebu nicheke miyeeeeeeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂!!

Jf sihamiiiiii 💃💃💃🤸🤸🤸🤸
 
😂😂😂😂Nijilipue wapii?? Saii kila mtu apambane nahali yake tyu no way kule sirudi hata kwa mtutu😁😁😎!
Nipe siri ya kudumu na Mtu humu mi nilishashindwaga kipenzi!!
Nimeandika na kufuta mara 3, 😄😄😄😄😄 mimi kwangu hata sikuwazaga kuja kuwa na mtu humu. Kwa mika 9 niliyokuwa humu. Tunaonaga ni Mungu tu alipanga.
Maana mazingira yaliyotufanya tujuane 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 kati yetu hakuna aliyewaza kama leo tutakuwa hapa. Humu JF naishi naye kama hatujuani kabisa basi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 No CC Antonnia
 
Weeeehh hongera sana kipenzi hamfuatiliani???
 
Nimeandika na kufuta mara 3, [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mimi kwangu hata sikuwazaga kuja kuwa na mtu humu. Kwa mika 9 niliyokuwa humu. Tunaonaga ni Mungu tu alipanga.
Maana mazingira yaliyotufanya tujuane [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316] kati yetu hakuna aliyewaza kama leo tutakuwa hapa. Humu JF naishi naye kama hatujuani kabisa basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] No CC Antonnia
Mambo mrembo
 
Weeeehh hongera sana kipenzi hamfuatiliani???
Asante luv. Anafatilia maana ni mtu mwenye wivu sana. Ni kijana but nachoshukuru ana hekima sana. Bila hivyo 🤣🤣🤣🤣 akiona kitu hajapenda, atauliza.
Sababu maisha ya kawaida miye ni mwaminifu, so vya huku anajua nahave fun tu.
Sema hajakutana na comment zangu za kuflirt atakufwaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂
 
[emoji4]
20230104_171917.jpg
 
Back
Top Bottom