Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nami napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaselfika wote kwa kuwa pamoja since day one hapa selfika!
Mmekuwa si tu ndugu jamaa bali rafiki wa karibu sana kwangu na kushirikiana katika mambo mengi sana hapa! Nilifurahii sana kuona tumefurahi tukacheka kushauriana na kujaliana hali kwa namna moja ama nyingine as selfika family mbarikiwe sana!
Sote ni binadamu Hakuna mkamilifu so popote tulipokwazana au kutofautiana kwa namna moja ama nyingine tusameheane bure bila kujali nilikukosea au ulinikosea! Hakuna sababu ya kukaa na vinyongo wala kuchukiana wapendwa binafsi sina kinyongo moyo mweupe kabisa kwa yeyote tulietofautiana kwa mazingira mbali mbali hapa!
Yaliyopita si ndwele wapendwa tugange yajayo!
As selfika family Inapendeza sana tukikaa pamoja kwa umoja tukifurahi pamoja!
Nawatakia kheri ya mwaka mpya 2023 ukawe mwaka wa baraka furaha amani mafanikio afya na uzima telee wapendwa na Mungu awabariki!!

Special Thanks to you all guys!!

Kisses
Ahsanteeeeeeeeeeeeh shougaaaaaaah,
Ubarikiweee naweee piaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom