sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Subiri SAA sitaThubutuuuu!! Pita naked tuonee!!
Subiri SAA sitaThubutuuuu!! Pita naked tuonee!!
Lol nishaanza kusinzia hapaaa usingizi debeeeeee😴😴Subiri SAA sita
Weka simu kwenye maji.Lol nishaanza kusinzia hapaaa usingizi debeeeeee![]()
Simu Kwenye maji tena ili ikufwee mazima yenyewe kimeo toshaa hapaaa 🤣🤣🤣🤣🤣!Weka simu kwenye maji.
Ukawe mwaka wa heri na mafanikio mengi kwakoNami napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaselfika wote kwa kuwa pamoja since day one hapa selfika!
Mmekuwa si tu ndugu jamaa bali rafiki wa karibu sana kwangu na kushirikiana katika mambo mengi sana hapa!
Nilifurahii sana kuona tumefurahi tukacheka kushauriana na kujaliana hali kwa namna moja ama nyingine as selfika family mbarikiwe sana!
Sote ni binadamu Hakuna mkamilifu so popote tulipokwazana au kutofautiana kwa namna moja ama nyingine tusameheane bure bila kujali nilikukosea au ulinikosea!
Hakuna sababu ya kukaa na vinyongo wala kuchukiana wapendwa binafsi sina kinyongo moyo mweupe kabisa kwa yeyote tulietofautiana kwa mazingira mbali mbali hapa!
Yaliyopita si ndwele wapendwa tugange yajayo!
As selfika family Inapendeza sana tukikaa pamoja kwa umoja tukifurahi pamoja!
Nawatakia kheri ya mwaka mpya 2023 ukawe mwaka wa baraka furaha amani mafanikio afya na uzima telee wapendwa na Mungu awabariki!!
Special Thanks to you all guys!!✌️✌️
Kisses😘😘😘
Aminaaaaaaaaaaaaaaa kubwaaaaaaaaa💃💃💃Ukawe mwaka wa heri na mafanikio mengi kwako
Heri ya mwaka mpya Madam 🥂❤️
Sasa je mambo ni bull bull
Mambo ni motrooooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✌️✌️✌️✌️Sasa je mambo ni bull bull
Thank you ❤😘Aminaaaaaaaaaaaaaaa kubwaaaaaaaaa💃💃💃
Wabheja sana kipenziiiii umewakaaaa😍😍 umenougaaa hatareeeeeee beautiful Onyinyee😘 So hoooooottttt 🔥🔥
God is good sote tuko vyedi sana kipenzi! I hope nyie pia mko poa sana huko!Thank you ❤😘
Hope wewe na familia mko salama
Mungu ni mwema sana tupo wazimaa dearGod is good sote tuko vyedi sana kipenzi! I hope nyie pia mko poa sana huko!
Weka ya rangiTupieni vitru sasaa mnaniangushaaaa!! Wigelekelo Valentina Alayna nawengine baraka zenu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Santo sana kipenzi 💃💃💃💃💃🤸🤸🤸😘😘😘😘😘Mungu ni mwema sana tupo wazimaa dear
Nimefurah kukuona hapa ukiwa na furaha
Upooooooo??? Natakaaa niwekeee ya mwshooo kwa mwakaa huu.Aminaaaaaaaaaaaaaaa kubwaaaa!
Nibless kipenzi niumalize mwaka vizureee kabesaaa




Weee pita kama ulivo bana acha hizoooo!!