Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Kwani hiyo flight ni ya zaidi ya 14hr??? Itafika bana.Unga tu but i wish ubebe na mihogo mibichi sijui itafika salamaš
Kwani hiyo flight ni ya zaidi ya 14hr??? Itafika bana.Unga tu but i wish ubebe na mihogo mibichi sijui itafika salamaš
Hao wakija nakimbia tu kama wewe ššKwa mazoezi hayo hata panya road hasogei hapo
Kwahiyo wao panya wewe paka si ndioš¤£š¤£safiš¤š¤Unaishi Kwa mashaka sana Chakorii
Hii ni chit chat
IDs ni za kizombie
Nawasubiri hao panya waje huko ulipopataja
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Inaleta burudani mnoš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ jf raha sana
16hrs uwa inabadilika rangiš©Kwani hiyo flight ni ya zaidi ya 14hr??? Itafika bana.
Nipo na sura yake naijua hadi mshepuJamani yako sijaona ya sura. Ngoja nimwite huyu Ngalikihinja atakwambia nilivyo sura. Nikiweka na sura inabidi nisiweke sasa fake avatar ššššš
Basi ntaichemsha kabisa....si naruhusiwa kubeba kama niki-declare ??16hrs uwa inabadilika rangiš©
Vipi ulichokuwa unapika kimeiva?
Hivi wewe si ndio ulikua unafanya mazoezi eti
Aminaa kubwaaaaa babuuuu santo sana kutukumbusha!āļøView attachment 2464270
Hata kama Duniani tunapita, ila still ipo haja ya kuendelea kukumbushana kuhusu kijilinda na kuwalinda tuwapendao.
Wakati tunafurahia kuingia Mwaka mpya 2023, mjue tutakuwa tumeongeza Mwaka 1 kwenye Umri ulionao Sasa š„±
Wekeni Malengo ya kuyatekeleza kuelekea 2023 š¤
Heri ya Mwaka Mpya 2023 kwa kila Mmoja wetu hapa. Mungu atupe kibali cha kuufikia Mwaka 2023 tukiwa buheri wa afya njema.
Hello Saturday š„
Awwwwwwwwwww ššššššš!Hello Last day of the Year šView attachment 2464334
Hao Panyaš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£!Unaishi Kwa mashaka sana Chakorii
Hii ni chit chat
IDs ni za kizombie
Nawasubiri hao panya waje huko ulipopataja
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Poleee kipenzi Wamekufanyeje???Dar nimeinyooshea mikono
Kilichonikuta leo city mall. Uwiiiiiiih.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshapeeeerr,Hello Last day of the YearView attachment 2464334






Babu yako Umri umenitupa Mkono Mjukuu š.Aminaa kubwaaaaa babuuuu santo sana kutukumbusha!āļø
Nakwako pia babuu mwaka 2023 ukawe mwaka wa Mafanikio furaha amani na afya njema teleeeeee kwako! Wabheja sana
Leo funga mwakaa fanya kupita nakkedd basi tukuone Babu yetu nawewe!!š
Kwahiyo wao panya wewe paka si ndiosafi
Wige kiukweli haipendezi kumtaja mtu bila sababu ya uhakika si Kwa sababu yanguā¦hapana ni Kwa sababu yao na wanaowazunguka hapa Jf..ninaimani kiutuuzima umeelewa.
Kuna watu wana wake humu na ninahamiana nao nje ya jf na tunawasiliana nao nje ya hapa so ikitokea umeandika kitu ambacho hauna uhakika nacho..huleta ukakasi nje ya jf.
Naimani wewe ni kaka mkubwa utanielewa kiutuuzima.
Nikutakie mwaka mpya mwema wenye mafanikio ndugu yangu![]()







kipenziiii unakutwaa na jamboo gani?